Mkuu wa Mkoa Bw Mwambungu alipata kuwa meneja wa bendi ya Vijana Jazz......kumpa ukuu wa mkoa ni dhihaka kubwa wakati wako wengi wenye uwezo wa kuwa ma RC.....Hapa yuko kushoto kwa mwenye shati jeupe......juu ya hayo madole gumba
kwa hiyo jumla wameuwawa wa 2? Unauthibitisho gani kuwa ni majambazi? Mana kuna taarifa nyingine ililetwa hapa mchana kuwa raia mwingine auwawa mchana wa leo.
unamaanisha sasa hv kuna mapambano yanaendelea???????
Poa mkuu!hiyo ndio tanzania yetu ya sasa!Polisi ni wengi hasa kutokana na kuletwa toka Iringa.Hawataki vikundi tena.wakikuta wanapiga mabomu
aliyeuwawa asubuhi uko namanditi ni raia! Lkn huyu wa jioni ndo inasemekana ni jambazi ameuliwa na raia wenye hasira kali maeneo ya mkuza.Lilikuwa ni jambazi Malaika
AU inaona mambo haya lakini?