Mabomu ya Machozi yarindima Mbeya

Mabomu ya Machozi yarindima Mbeya

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,162
Reaction score
11,229
attachment.php

Jeshi la polisi mkoani Mbeya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara ndogo ndogo baada ya kukaidi agizo la kuondoka eneo lililokatazwa.

Source: ITV & Radio one.

Habari zilizotufikia Hivi Punde zinasema Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wamelazimika Kutumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafanyabiashara Ndogondogo maarufu Kamam Wamachinga mara baada ya wamachinga hao Kuanzisha Vurugu kubwa. Mwandishi Akielezea zaidi Ameserma Tukio Hilo limetokea Mara baada ya Wamachinga waliondolewa kwenye maeneo yasiyoruhusiwa Kufanya Biashara Walipelekwa Eneo Lingine Maalum kwajili ya Kufanyia Biashara zao Wapo Baadhi ya wamachinga Walikosa Maeneo ya Kufanyia Bishara Ndipo Leo..

Walipowavamia Wamachinga Wenzao waliokuwa wakiendelea na Biashara zao na kuwaletea Vurugu Ili kuwashinikiza Waandamane kwa Pamoja Kwenda Kudai Maeneo zaidi ya Kufanyia Biashara Hali Iliyopelekea Kuzuka Kwa Vurugu Kubwa Na Jeshi la Polisi wakalazimika Kuingilia Kati kwa Kutumia Mabomu ya Machozi Ili kuzuia Vurugu zaidi.
 
Attachments

  • mabomu.jpeg
    mabomu.jpeg
    11.8 KB · Views: 1,088
Jeshi lapolisi mkoani Mbeya limelazimika kutumia Mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara ndogondogo baada ya kukaidi agizo la kuondoka sehemu isiyo ruhusiwa.

Chanzo;Radio One
 
Picha Zote na MaktabaHabari zilizotufikia Hivi Punde zinasema Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wamelazimika Kutumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafanyabiashara Ndogondogo maarufu Kamam Wamachinga mara baada ya wamachinga hao Kuanzisha Vurugu kubwa.Mwandishi Akielezea zaidi Ameserma Tukio Hilo limetokea Mara baada ya Wamachinga waliondolewa kwenye maeneo yasiyoruhusiwa Kufanya Biashara Walipelekwa Eneo Lingine Maalum kwajili ya Kufanyia Biashara zao Wapo Baadhi ya wamachinga Walikosa Maeneo ya Kufanyia Bishara Ndipo Leo..

images
 
Tatizo hawa jamaa wanadhani sugu ndio kila kitu uko mbeya wajifunze kufata taratibu bila shuruti.
 
Picha Zote na MaktabaHabari zilizotufikia Hivi Punde zinasema Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wamelazimika Kutumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafanyabiashara Ndogondogo maarufu Kamam Wamachinga mara baada ya wamachinga hao Kuanzisha Vurugu kubwa.

Mwandishi Akielezea zaidi Ameserma Tukio Hilo limetokea Mara baada ya Wamachinga waliondolewa kwenye maeneo yasiyoruhusiwa Kufanya Biashara Walipelekwa Eneo Lingine Maalum kwajili ya Kufanyia Biashara zao Wapo Baadhi ya wamachinga Walikosa Maeneo ya Kufanyia Bishara Ndipo Leo..

images
 
Habari zilizotufikia Hivi Punde zinasema Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wamelazimika Kutumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafanyabiashara Ndogondogo maarufu Kamam Wamachinga mara baada ya wamachinga hao Kuanzisha Vurugu kubwa. Mwandishi Akielezea zaidi Ameserma Tukio Hilo limetokea Mara baada ya Wamachinga waliondolewa kwenye maeneo yasiyoruhusiwa Kufanya Biashara Walipelekwa Eneo Lingine Maalum kwajili ya Kufanyia Biashara zao Wapo Baadhi ya wamachinga Walikosa Maeneo ya Kufanyia Bishara Ndipo Leo..

Walipowavamia Wamachinga Wenzao waliokuwa wakiendelea na Biashara zao na kuwaletea Vurugu Ili kuwashinikiza Waandamane kwa Pamoja Kwenda Kudai Maeneo zaidi ya Kufanyia Biashara Hali Iliyopelekea Kuzuka Kwa Vurugu Kubwa Na Jeshi la Polisi wakalazimika Kuingilia Kati kwa Kutumia Mabomu ya Machozi Ili kuzuia Vurugu zaidi.
 
mbona dolla inatunisha sana msuli maeneo yanayodhibitiwa na wapinzani? Je kuna hujuma zozote ama ni nia njema ya kusafisha jiji? .... Just thinking loud
 
Wao wafuate sheria sio kuleta ubabe. Sasa kama wametengewa sehemu kwa nini wakaidi? Je, kwa nini wawavamie wenzao waliotii amri halali ya serikali?
 
hivi kuna mji usio kuwa na mipango jamani? kwa nini wamachinga, waendesha bodaboda,madeva wa daladala na waendesha bajaji hawataki kufuata sheria? kuna nini hapa?
 
Wafuate taratibu za Mipango miji, ununda wa kufanya fujo eti watapata sympathy kwa watu waache kabisa. Muhimu ni dola kutumia busara lakini sio huruma pale isipohitajika. Jamani Mji sio gulio, tuwafunze hivyo watu wataelewa hata ikibidi nguvu kutumika
 
Wao wafuate sheria sio kuleta ubabe. Sasa kama wametengewa sehemu kwa nini wakaidi? Je, kwa nini wawavamie wenzao waliotii amri halali ya serikali?

So easy kwa mtu kusema "si ufwate sheria". This is Teezee man. Hakuna anayefwata sheria, from the president to hao wamachinga. Tushazoea watu wa hali ya chini kuonewa. Ingekuwa sheria inafwata mkondo wake kila sekta, watu wa EPA wasingeambiwa "rudisheni hizo hela".

Kama sehemu haikutosha ulitegemea wafanye nini? Nina uhakika walienda kulalamika sehemu husika, lakini si Unajua nchi yetu hii.

Njaa bwana!
 
Back
Top Bottom