kindondindo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 503
- 151
Eneo la bombambili songea kinanuka saizi ni baada ya polisi kukamata pikipiki kama 200 afuunaambiwa kosa utalijua kituoni.
Bodaboda wameamua kuchoma matair ya gari barabarani pale mteremkoni kama unapanda kwa mkuu wa mkoa
Bodaboda wameamua kuchoma matair ya gari barabarani pale mteremkoni kama unapanda kwa mkuu wa mkoa