VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Lini hasa tujiandae Mkuu paradiso?mkuu ni kwamba, vijana wetu wamefanikiwa kuingia kwenye kompyuta za serikali na kupata report nzima ya jaji Menento aliyofanya juu ya tuko la arusha.
ikulu imetoa amri kuwa report hiyo ipotezwe na isitoke hadharani milele kwasbabu finger prints za CCM zinaonekana wazi kabisa.
lakini tumeshaipata na soon tunaiachia.
ile ni kesi ya jinai. serikali inatakiwa ipeleke watuhumiwa mahakamani then akina Mbowe waitwe kama washahidi na hapo ndipo atakapotoa ule ushahidi wake alio nao. tatizo hapa ni kwamba serikali inajua ilichokifanya Arusha kwa kupitia jeshi la polisi ndio maana hawawezi kupeleka watuhumiwa mahakamani then wakaumbuke wenyewe maana ile kazi serikali ndio ilifanya yenyewehata mimi ninashangaa sana huu usiri, wengine wanaushahidi wanauficha(Mh. mboye) watuwekee basi hata huku mitandaoni kama mnaogopa polisi watauchakachua????? mboye kweli uko serious na damu za watanzania??