Mabomu na vituko vyake...

D u Nziriye upo sahihi kabisa huu ni ukumbi wa Jokes asiyeweza aende akafungue Jukwaa la siasa au International au tumuombe MOD afungue JF Rambirambi iwe sehemu ya huzuni tupu, Iran Libya Gongo la mboto, Mbagala, MV Bukoba nk

Thanks ukwaju kwa kuendelea kufafanua khs hlo,inabidi mod afunue jf rambirambi ,of course hatuombei wala hatupendi mabaya bt kimeshatokea so wa kuwajibishwa wawajibishwe ipasavyo na c kucheka cheka wakati janga la kitaifa kama hlo,kujiliwaza after all matatizo ya nchi then ni vizuri kuwa na kitu cha ku-refresh mind na ndo mana kuna jukwaa la jokes na utani na inabidi mtu anayeingia humu ajue kutania na kutaniwa kufuatana na mambo ambayo yanatokea humu duniani nDo utani unazaliwa.
 
its okey kama ntataniwa,ina mana haujawahi kwenda msibani ukakuta watani wa jadi wanataniana na watu waliofiwa au?mbna hapo hauhoji ?au ndo unayesupport tu hoja without arguments ambazo zina-sound,nipo ktk right venue ,so kama hupendi kuchangia then its better ukaenda jukwaa la hoja na mambo mbalimbali,jamii intelligence, n.k ,nawasilisha.

Msibani hutaniana watani wa jadi na kamwe mjane hataniwi. Tunajua hili ni jukwaa la utani lakini unamtania nani? Ndio maana wahanga wanakujia juu maana utani haulengi kumkumbusha mtu majonzi bali kumwondolea simanzi. Huyo mama aliyebeba mbwa (kama ni kweli) akiona utani wako huu atacheka?
 
dah! kasweswe! umejaribu kumgoogle?


we mwakifuna !
na kwenye magazeti nimetoa picha yake !
sasa sijui kapotea kweli !!
au ndo wazee wa kiduku az usualy !!!!!!!!!
yani had kero !!!!!!!!!
anaitwa desi ukimuona huko mwambie bado robo saa !!!!!!!!!!1
 
hayajakukuta utakimbia huku p+mbu umeziacha barabaran jiangalie kijana ohoo
 
vituko ni vingi mno,mf unaweza ukawa na torch mkononi unamulika mbele ili uone kilicho mbele yako,bac unaweza kukimbia mpaka ukaupta ule mwanga wa torch uliyoishika ....NB:TUKO PAMOJA NAO NDUGU WA MAREHEMU PIA TUNA- POLE KWA WAFIWA WOTE
Nia nze kwa kuomba r.i.p kwa marehemu wote wa mabomu gongo la mboto ,na majeruhi wawahi kupona mapema,but kweli vita mbaya yani ktk kimbia kimbia kila mtu kuokoa roho yake kuna mama mmoja amejikuta kabeba mbwa badala ya mtoto akafika jet -corner ndo kutahamaki kaacha mtoto,wengne wakimbia uchi,na sidiria,chupi,na tight,boxer...jamani eti ktk vita huwa kuna matukio yepi mengne ya kuchanganyikiwa yanayotendwa na wahanga
 
acheni ujinga unajua tumepoteza ndugu na jamaa,tena tumepata vilema wengi na makazi yao yameharibika,hivi wakija kukuomba msaada leo hii utawapa au unajisikia kuleta jokes zenye ukweli,do you real know what jokes mean? so its better to find other jokes rather than speaking the truth. uwe na adabu
 
hawataki utani halafu wamefika kwenye jukwaa lake.
Kichekesho chenyewe hakichekeshi lakini.

kichekesho hakichekeshi kwa nani?inawezekana kwako hujacheka au kuchangia labda bandama lako ni dogo,halafu elewa kucheka si universal action bt ni relative action means yawezekana usicheke weye bt kuna mtu akacheka weee hadi ushangae.
 
Back
Top Bottom