[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umenichekesha sanaWanajua wakimuachia wananchi walivyochoka na hali hii watambeba kumpeleka magogoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanajua wakimuachia wananchi walivyochoka na hali hii watambeba kumpeleka magogoni
Zilizochakachuliwa.Kura milioni Sita sio jambo dogo!
Aache kutafuta kick kwa kutumia majanga! Kama ana Pesa akachangie madawati na huduma zingine!Maafa yalioikumba tanzania huko kagera na sehem zingine yameleta simanz kwa watanzania wengi. Hiyo imewalazimu watu wa kada tofauti tofaut kufika eneo lile . Kuanzia wa upinzani na ccm na serikali, mpaka majirani kama kenya wamefika.
Ccm wametembelea bila shida, wazir mkuu bila shida , upinzani akina mbowe na Mbatia walipata figisu figisu kidoogo.!!
Lakin alipoingia Lowassa police wakajaza magari mafuta mabomu wakapakia, bunduki wakazikoki, na hatimaye wakatawanya watu wanaompokea anapowasili kwann??
Kwan hao wengine hawakupokelewa na watu??
Swali lowassa ana nn kibaya katika serikali hii??
Kwann serikali inamwandama kila anapokwenda??
Maafa yalioikumba tanzania huko kagera na sehem zingine yameleta simanz kwa watanzania wengi. Hiyo imewalazimu watu wa kada tofauti tofaut kufika eneo lile . Kuanzia wa upinzani na ccm na serikali, mpaka majirani kama kenya wamefika.