Mkuu ferre.g huyo jamaa mi nilishaacha siku nyingi kusoma nyuzi zake kwani nasikiaga kinyaa. Nikiona tu jina lake napitishaga cuser shaaa.Chilisosi...ujinga peleka lumumba..watu wanajadili maisha unaleta upuuzi wako mshenzi sana wewe.
chilisosi weeeeee! watu wanapenda sana kukulamba na chps,amakweri chilisosi unaliwa sana.Naona tunakoelekea polisi wakiua jambazi mrasema wameua raia mwema manake nadhani mnataka polisi wawe kama masista wa kanisani, FULL HURUMA