Mabomu Kinondoni mida hii

Nchi hii kuna watu wanaitwa Ffu

Mimi mwenyewe nilihitimu mafunzo ya JKT, lakini nilipomshirikisha ona hawa jamaa ambao hata hawafikii kiwango changu katika mafunzu afu wanawatesa Raia kiasi kile, kiukweli huwa ninawaona kama sio watu wa maana.

jichanganye siku moja kwenye harakati zao za kuweka levo siti ili ujipime kiwango kwa vitendo sio nadharia hizi za jf
 
IDDI AZZAN kapigwa chini
Vijana wote Biafra. oyoo oyoo polisi wamechukia
 
Wanawabwekea?😀 watoto wa taifa mbona mwakosa adabu au kale ka kinywaji kenye harufu kali
Nilipita pale,nilikuwa ndani ya daladala. Vijana wanabweka,wanawaita FFU waje kuwafurusha.
 
Naamini kaboom na rat tat tata ta ni milio tofauti ya bomu na risasi respectively. Nilisikia kaboom mara sita....baadae kuna jamaa kasema kaona Land Rover 3 za ffu zikienda huko
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…