Ninahakika haupo tayari kufa Mkuu,ninahakika hutaki kuishi Maisha ya wasomalia Mkuu,ninahakika hupo tayari kujuta kama walibya Mkuu,huwezi kuhakikisha Maisha salama baada ya machafuko,nakusihi tubu hii dhambi ya kishawishi vurugu.Upinzani ni lazima,vurugu ni laana kwa watoto wetu,na hawatakusifu Kwa kuwaletea msiba Bali watajuta kwann uliwahi kuwepo duniani(Ubarikiwe)