Manyerere
Jackton sifahamu hasa kiwango chako cha elimu lakini sehemu
kubwa unadhalilisha hata wenyeji wa Musoma na hasa Butiama.Kweli kwa
akili yako unawaza akili ukiwa umekufa au umelala?.Kenya kwa hatua za
maendeleo wanatuzidi sana na hawana haja ya kuona wivu
kwetu.Taarifa tu ya leo Kenya wanajenga njia za Reli 26 ndani ya
Nairobi hadi JKIA kurahisisha miundo mbinu kwa KSH10 BILION.Je
Tanzania ina nini cha Kujivunia?, kama siyo uvivu wa kufikiri kama wewe
na ufisadi?.Ndugu Yangu MAnyerere ndio maana mie nilikwisha kataa kusoma
gazeti lenu la Jamhuri maana mpo shallow minded,myotic na zero
mind.Hebu unapopata nafasi ya kutoka ndani ya Tanzania jaribu kuwa
inquisitive kuona nchi zingine zimepigaje hatu.Au pengine ndiyo njia ya
kutaka kumpamba LOWASA na kashfa ya kuamuru molani kumshambulia
Nassari.Kwa hatua zote hizo kwa jambo ili LOWASA amejipaka tope tena
katika uso wa wastaarabu na kuzidi kuwa mbali na kikome cha urais
2015.Rudi darsani Manyerere Jackton upate
angalau weledi wa kuchambua mambo.
Wakati mwingine nasikitika tunaposhindwa kutumia akili zeru vizuri.... Hivi polisi wetu hawa ambao hawajawahi kusikia bomu mitaani wakiwa na silaha huwezi kufikiria akili ya kwanza kabisa kwao ni kwamba wao ndio walikuwa target na kwamba kwa kuwa walikuwa na silaha watakuwa wa Kwanza wao kurusha risasi kama kujilinda? Tumieni akili please acheni kuwa waganga wa Kienyeji!Jackton kwa hiyo Kenya walituma polisi wetu kuua raia wao??!! kumbuka kama huamini video zilizshughulisha ubongo tusitafute mchawi wakati
wanga wako ndani ya nchi yetu.
Iko siku tu wasioijua hawa magamba wataondoka na kuwekwa rumande.
Wakati mwingine nasikitika tunaposhindwa kutumia akili zeru vizuri.... Hivi polisi wetu hawa ambao hawajawahi kusikia bomu mitaani wakiwa na silaha huwezi kufikiria akili ya kwanza kabisa kwao ni kwamba wao ndio walikuwa target na kwamba kwa kuwa walikuwa na silaha watakuwa wa Kwanza wao kurusha risasi kama kujilinda? Tumieni akili please acheni kuwa waganga wa Kienyeji!
Kwa sasa hakuna mTanzania wa chama chochote anaweza kufanya yaliyofanyika.
Kasheshe,Wakati mwingine nasikitika tunaposhindwa kutumia akili zeru vizuri.... Hivi polisi wetu hawa ambao hawajawahi kusikia bomu mitaani wakiwa na silaha huwezi kufikiria akili ya kwanza kabisa kwao ni kwamba wao ndio walikuwa target na kwamba kwa kuwa walikuwa na silaha watakuwa wa Kwanza wao kurusha risasi kama kujilinda? Tumieni akili please acheni kuwa waganga wa Kienyeji!
Kwa sasa hakuna mTanzania wa chama chochote anaweza kufanya yaliyofanyika.
Kuifikiria kenya inahusika ni mawazo dhaifu maana lazma ujue watalii wengi wanaokuja TZ wanapitia hapa Nairobi either on-transit au kwa mawakala wa utalii wa hapa. Kamwe serikali makini km ya kenya haiwezi si kufikiria wala kutekeleza njia hizi za kipuuzi
Adui yuko ndani ya chama cha sisimu na serikali yao waliyounda na pia inamjua muhusika wa haya mauaji ya kisiasa ndio maana hawataki tume ya kimahakama iundwe kuchunguza. Ukiona penye usiri ujue kuna jambo limefichwa na kwasababu hali halisi yaonesha magamba kuelemewa katika medani ya kisiasa na kiuongozi wameanza kutapatapa na kupoteza mwelekeo.
Nashauri tume huru ya kimahakama iundwe uchunguze na kutoa ripoti yake kwa wananchi (cc bunge na serikali)