EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Wasubiri Wadau waje mubashara kwanzaKama unampa ili umridhishe, basi kaa ukifahamu mwanaume si mtu wa kuridhika, mpe Leo, mpe kesho na bado atataka tena.
Kama unampa ili Asichepuke, basi unajidanganya..! Tamaa ya ngono na mwanaume ni kama mapacha wa tumbo moja. Kama Biblia ingeruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja, basi ungejikuta wewe ni wa pili (bi mdogo), au ungetafutiwa mke mwenzako kama wewe ndio ulitangulia.
Ni Yesu tu aingilie kati na aushike moyo wake.
Kama unampa ili kudumisha Upendo.. Pole..! Mara baada ya kuona uchi wako, upendo kwa wanaume wengi hupungua, maana unakuwa hauna JIPYA kwake, maana siku mnasex yeye ndio huangalia je wewe mtamu, je una uke mpana au unabana je unamaji mengi au mkavu je unajua kunyonga kiuno baadae ndio anaanza kukulinganisha na Jully, Anna, Angel, Minah, na Felister alio sex nao juzi na jana je una mfikia hata mmoja?
Ndio maana wengi mmeachwa baada tu ya kusex au baada tu ya kusex mtu amekua na mdai ya kua busy lakini kabla hukua hivyo. Angalia utaishia kuweka msiba usiokuwa na waombolezaji. :
Kama unampa ili Akuoe, FIKIRI UPYA..! Chanzo cha ndoa si wewe Kuvua chupi yako, ndoa ni Agano takatifu ambalo mwanzilishi wake ni Mungu mwenyewe. JITAMBUE USIJIRAHISISHE..!
Kama unampa ili ASIKUACHE, Labda nikuambie ni nani unayepaswa kumuogopa..!
Haina haja ya kuogopa kuachwa na mwanaume (asiye na Hofu ya Mungu) maana hana sehemu ya kukupeleka, bali muogope Mungu ambaye aliyeshika maisha yako na mwenye uwezo wa kukuhukumu Katika Jehanum ya MILELE, kwa dhambi hiyo ya Uzinzi unayoifanya. ;
Mabinti wengi Leo wameumizwa Katika Mapenzi, wanafanya ngono kuwaridhisha wanaume huku wakimkasirisha Mungu na wengine hata kuacha IMANI (Wokovu) kabisa.
Ujumbe huu ukasaidie kukutoa kwenye maangamizo ambayo Ibilisi ameendaa kwa ajili yako. "Ndoa bila kuvua Sketi INAWEZEKANA, UKIAMUAView attachment 1228445
Mficha uchi hazai,,, aliotoa msemo huo aliwaza mbali sana.
Sasa endelea kuwashauri wafiche uchi tu, wengine bila kuonjeshwa karanga hatununui kabisa. We bana wenzio wataachia.
Mkuu, siyo wanaume tu, siku hizi hata kama mwanaume unataka ku- refrain sex kabla ya ndoa binti anakulazimisha na ukikataa anakuona fala anakuacha.Ila najiuliza ni wanaume wangapi watakubali kukaa na mwanamke bila sex kabla ya ndoa?
Ni mchoraji mzuri sana ila kwa uhilisia sio sana haiwezakani zaidi ya nusu ya mwlili wote uwe ndani ya maji afu nguo zisiloe hata kidogo na mwili usiwe hata na tone la maji!!Mchoraji huyu mkali sana
Exactly!Sad truth , we need to learn the truth !!!
Kama unampa ili umridhishe, basi kaa ukifahamu mwanaume si mtu wa kuridhika, mpe Leo, mpe kesho na bado atataka tena.