Mechatronics
Member
- Nov 26, 2016
- 35
- 27
Ndo hapo sasaaAna mtu kwani wewe sio mtu?!!
Daaa we acha tuuUsichoke kutafuta, Pole.
Komaa nao hao waache ujingaNdo hapo sasaa
Utajiju [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binafsi mm ni mrefu tena sio kidogo, na ninahitaji mpenzi wangu awe mrefu pia ila kila ninapomuona binti mrefu lazima anambie anamtu au nisiwaone kabisaaa...
Daaah
Sijui kwann yan..
Mwisho wa siku itabidi yoyote yule nitakae mpenda nipite nae ata awe andunje vip.
Hawana watu hao, hawakutaki , na wao hawapendi wanaume wafupiBinafsi mm ni mrefu tena sio kidogo, na ninahitaji mpenzi wangu awe mrefu pia ila kila ninapomuona binti mrefu lazima anambie anamtu au nisiwaone kabisaaa...
Daaah
Sijui kwann yan..
Mwisho wa siku itabidi yoyote yule nitakae mpenda nipite nae ata awe andunje vip.
Mi sio andunje aseeeHawana watu hao, hawakutaki , na wao hawapendi wanaume wafupi