.....tumechoka vifo
...........mnakufa wenywe
......kwanini hamridhiki, kwani ulivyompenda huyo wa kwanza ulimpendea nini...
.... Ok, labda mwafata hela.. lakini mbona history za maisha yenu ni dhahiri mmetoka maisha ya chini sana..
mko tayari uwawa kikatili kisa kusaliti wapenzi wenu,tena wa dhati..
sasa mimi nawambia hivi jiheshimuni.. Mpunguze VIFO.
IM DONE. G9T
Mbona WANAUME wakiwasaliti wanawake hawauwawi na wake/wapenzi wao! wanabakia kupooza tu!
SIKU ZOTE MWANAMKE ANAONEKANA ANA HATIA SANA HATA YA KUFANYIWA UKATILI!!
Wanaume nanyi BADILIKENI mwanamke naye mtu, kukosea kitu cha kawaida ila KUELIMISHANA NA KUSAMEHANA jambo la busara sana. Kama unaona hakufai si umwache
Hata Mimi nimemshitukia, atakuwa Amepiga Veroba Huyu!Are you okay?
..wewe ni wa kwanza kunielewa katika uzi huu.. sasa tushirikiane waelimisha hawa akina binti/wasichana/wanawake wasioridhika hata uwape mgodi.. hawaoni hatari jivua. Shida yao nini.. Mimi binafsi nimechoshwa na vile wavyouawa kikatili punde tu wanapovua .. ch*p kirahsirahsi.... kusaliti wapenzi wao wa dhati.
Mzee wa Rula tuwasaidiaje hawa dada zetu,,, wachache lakini si wote,,, wanaopenda magari na kuwasahau wapenzi wao wa dhati..waliowaleta mjini na kisha kuanza wadharau.. tupunguze vifo vyao..data unataka watu waache vidumu??? Ndoa ni kazi sana usione watu wanaishi, nyumba zinastill mengi.
Mzee wa Rula tuwasaidiaje hawa dada zetu,,, wachache lakini si wote,,, wanaopenda magari na kuwasahau wapenzi wao wa dhati..waliowaleta mjini na kisha kuanza wadharau.. tupunguze vifo vyao..
AU Wanawake tusomee/tupate UBONDIA ili tuweze wakabili wanaume??
MNAWAONEA SANA NDUGU ZETU! kisa PENZI si muwaache tu!
AU tuache VIUNGO?? navyo vikiachwa mwalalama tena! ho hajui mapenzi! hoo hana nidhamu! yanatoka wapi tena!!!
ukila vya intelijensia,jambazi,mvuta bangi hapo kweli unatafuta kufa kabla yaa siku za muumba wako lakini vya masharobaro wapaka pouda na wale watoto wa mama,na wale wakishua kama Bishanga akhuu utauawa saa ngapi,kila kitu kina consideration uhongwe gari halafu ule kona wee utasakwa na FBI wa bongo,ujumbe umewafikia wapenda kula vya kuhongwa.Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe lakini si kwa kuweka maisha rehani