Mabinti wa siku hizi!

Mabinti wa siku hizi!

ngoja nikupe siri kijana....upapara wenu,inexperience na upu.mbavu wenu ndo unawafanya wanawanyima nyie watoto na kuja kutupa siye watu wazima.
 
acha kuwaza uzinzi dogo, huyo anahitaji mtu anayejielewa sio mngonoko.
 
Nahs ndo mtazamo wake huo! Kama vp akusanye hela aoe na sio kuzini hyo dhambi ni kubwa na huwa inaharibu / bomoa malengo yote ya maisha..
Kwahiyo kwa kifupi unamaanisha kwamba:-

Unahitaji kumshawishi binti wa watu aweze kuvua nguo zake zote na abaki uchi,kisha nawewe ubaki uchi na kwa Makusudi kabisa mfanye UASHERATI, nakuvunja Amri ya sita huku ukijua Mungu hapendi.NDIO UNAMAANISHA HIVYO?
 
Mh huu uzi umenzungumzia! Ila tofaut ni matamshi yako ni ya kitoto sana mean ya ki form four level iv,,

anyway ntakujbu! Ulipo muuliza kwa nin hakupi alikujbuje?

Je pesa unaombwaga na una toa? Umetoa kiasi gani mpaka sasa tangu mwez wa sita?

Je kwa nini ndan ya mda mfupi tu hata marafiki, ndugu hamjaoneshana kwa kutambulishana mean unakuwa uhusiano wa kisirisiri then utake kuzin badala ya kuwa na wazo la ndoa kwanza? Kweli umejipanga au ndo hit & run?

Fahamu kuwa malezi na imani za kidini tumelelewa tofauti iman ya mwenzio inamkataza kuzin kabla ya ndoa, wewe unang'ang'ania kuzini kwanin?

Kama unaonea uchungu pesa uitoayo kwa kumpa huyo dada na vocha uitumiayo kuwasiliana nae pia naomba uache kuvifanya vyote hivo alaf mwambie umekubaliana nae ila hutatoa huduma na wewe mpaka ndoa alafu baada ya ndoa umkute BIKRA sijui uso wako utauweka wapi?

Hayo yangu tu ila yanaukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom