Mabinti wa siku hizi!

Mabinti wa siku hizi!

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,588
Reaction score
1,859
Habari wana jf mimi nina demu wangu 2po kwenye mausiano takribani miezi4 ila kila nkimwambia anipe papuchi anarukaruka nimejarbu mara nyng lakn bado anagomea mzgo, na anasisitza ananipenda sana, na me nampenda lkn kwny mambo mengne kam kiss n.k hana tatzo,me nampenda lkn mzgo hatoi nifanyeje,nimteme au nimvumilie,msaada tafadhari!
 
sasa utamvumilia hadi lini
anaona aibu tu huyo sio kwamba anataka kukunyima
inawezekana wenzio wanapewa wewe umewekwa fungu
 
Habari wana jf mimi nina demu wangu 2po kwenye mausiano takribani miezi4 ila kila nkimwambia anipe papuchi anarukaruka nimejarbu mara nyng lakn bado anagomea mzgo, na anasisitza ananipenda sana, na me nampenda lkn kwny mambo mengne kam kiss n.k hana tatzo,me nampenda lkn mzgo hatoi nifanyeje,nimteme au nimvumilie,msaada tafadhari!
Uandishi wako unachekesha sana.....!
Ukitaka upewe usiombe....
 
Yaaani binti anakupa mpaka kiss unashindwa kumshuhurikia.. Ukisubiri akuambie twende leo nikakupe.. Utasubiri mpk Yesu anapaa tena mawinguni. Onyesha mautundu.. Kweny kiss hapo ndio pakupenyea mkuu achaa uzobaaaa..
 
Hahaha. We unaita kitu yake mzigo, halafu unategemea upewe kweli?

Cute and slick, get it wet, son. Take it from your highness.
 
Kama anakubali kiss huyo yuko tayari but what you need is to extra miles during the kissing process. La kufanya jaribu kuwa na mazoea ya kukutana naye sehemu ambayo ina faragha. Ikitokea kiss hataweza kuchomoa na wala huna haja ya kumwambia nipe. Wakati mwingine.jibu hili ni gumu kwa wadada wengi ila we unachotakiwa ni kuonyesha initiative na ndicho wanawake wanapenda na siyo kumuuliza sasa ombi langu vipi wakati mna kissiana.

Kitu kingine wanawake ni tofauti na wanaume, kwahiyo si lazima kila.mnapokutana awe tayari kwa tendo. Ila endelea na kiss maana kuna siku mwafaka mtapitiliza na kupata unachikitaka.

Wakati.mwingine wanawake hutumia njia hii kama test ya uvumilivu wako
Hutaka kujua kama kweli unampenda. Na wakati mwingine ni kutaka kutojionesha kuwa mrahisi ili pindi ukishamuoa usije tamba ulivyompata bila taabu.

Ni hayo tu. Kazi kwako.
 
duu nashukuru sana mkuu!
 
Habari wana jf mimi nina demu wangu 2po kwenye mausiano takribani miezi4 ila kila nkimwambia anipe papuchi anarukaruka nimejarbu mara nyng lakn bado anagomea mzgo, na anasisitza ananipenda sana, na me nampenda lkn kwny mambo mengne kam kiss n.k hana tatzo,me nampenda lkn mzgo hatoi nifanyeje,nimteme au nimvumilie,msaada tafadhari!
subiri atakupa mgawo wa umeme ukiisha.
 
Habari wana jf mimi nina demu wangu 2po kwenye mausiano takribani miezi4 ila kila nkimwambia anipe papuchi anarukaruka nimejarbu mara nyng lakn bado anagomea mzgo, na anasisitza ananipenda sana, na me nampenda lkn kwny mambo mengne kam kiss n.k hana tatzo,me nampenda lkn mzgo hatoi nifanyeje,nimteme au nimvumilie,msaada tafadhari!

vp umepata chuo gani dogo?kama bado check email yako
 
Habari wana jf mimi nina demu wangu 2po kwenye mausiano takribani miezi4 ila kila nkimwambia anipe papuchi anarukaruka nimejarbu mara nyng lakn bado anagomea mzgo, na anasisitza ananipenda sana, na me nampenda lkn kwny mambo mengne kam kiss n.k hana tatzo,me nampenda lkn mzgo hatoi nifanyeje,nimteme au nimvumilie,msaada tafadhari!

Jaribu kumpapasa sehemu za siri, huenda unakula denda na mwanamme mwenzako bila kujijuwa. Kumbuka, maendeleo yana madhara yake....hivi vyakula vilivyo expire toka super market zetu zinafanya wanaume wengine waote maziwa. Usikute jamaa ana dushelele shinda lako ila anakutime tu siku ulale akugeuze mboga, chunga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom