Mabinti wa make-up mh yani...


Mkuu umenena ukweli usiopingika ila hapo kwa bold sio umenipoteza kwani mimi ni mpiga kura mzuri na sijawahi kuyaona hayo mafuta yake, kama unamaana ya kula basi badili hapo juu.
 
Yani mimi na hizo make up mbali mbali sijui kwanini, nilikuwa nashost kajaribu kunishawishi na mimake up nikapaka nikaona nakua tofauti na nilivyo yani uzuri wangu unakimbia nikaona mh! ngoja niwaachie wanoweza kuzimudu mwaya.... nikipaka poda tu inatosha tena poda yenye baby Johnson..... uso pouwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…