make up.. make up... hasa hasa kwa mabinti, nakubali vitu hivi vina umuhimu wake, na vina mvuto kwa wakaka au mmeo... Lakini ngoja ntoe angalizo si kila make up ina mfanya mdada awe mzuri au wakuvutia. Kwanza tambua ni kwanini uanatumia make up fulani,
kupenda sana kutumia make up sometimes ni dalili za kujitambua wewe ni mbaya au unakasoro katika appearance yako. samahani lakini...
Kama wewe una color nzuri mkorogo wa nin, au maenjo face ya nini ..? Hata ukijipaka mafuta ya kura shining color tutaiona tu...
Mara unyoe nyusi uweke kope kama chelewa lip stick kama kasuku :smile-big: , sometimes watu wakikuangalia sio kwamba wanavutiwa nawe bali unawatisha tu..
mkijichunguza vizuri sometimes unakila dalili za kuzeeka mapema ... Jitunzeni ambinti sio kila make inatuvutia

Mpaka hapo ashakuwa NOTICED.
mkuu hayo mafuta yanapatikana wapi?
kwi! kwi! kwi....!
Mmmmh! Kapendeza kweli! Nimetumie tel nö yake plz!
make up ndio mpango mzima bana....,kikubwa ujue kuzi apply kwenye uso wako
umeona eeeh? wengine sura zetu za kizee, bila make ups hata smile halinogi. lol
Unkula huu.
Uwii nimeshtuka bado kidogo nidondoshe simu kwenye maji