Subira yanini wakati hata wanaume wenyewe hamtabiriki?
Nikudadisi inisaidie nini wakati mmeshajiandaa kudanganya?
Sio rahisi kushawishiwa kama udhanivyo.
Kumbe nanyi mnajijua kua mkiona maungo yetu akili zinawaruka? Sasa kwanini mshangae akili zikituruka kwa Pesa?
Bora sisi Pesa kuliko nyie maungo ya mwili,nani yupo pabaya kati yetu?
Tenzi zinisaidie nini,najua kesho utanitenda tu hata kama uliniimbia mashairi matamu.
Mnaona tukilana denda kwenye media huwaoni wanaume wenzako wanaoolewa?
Sorry,nimejaribu kutumia lugha uliyotumia.
Iwewajumuisha wadada as if wote wanafanya haya uliyoyasema ila sikua na lengo la kujumuisha wanaume wote.
Hakuna kwenda nimesema, wala huyo Babu sitaki kumsikia
sawa kaka,nimekusikia.....l.o.l:hand:
Dah!!! Aiseeeenimekubali maneno yako,umesema ukweli kabisaaaaaaaa!!!!
Uliniudhi ulivyotoroka kwenye maombi,nitasema kwa mchungaji leo.....habari yako binafsi CPU?
Naunga mkono hoja hii 10000000000000000%
Mioyo ya Mabinti Woooooooooooooooooote imebadlika sana!!!!!!!
As long as Wallet ipo safi (max $300), unaweza kuchukua binti yeyote yule na kwenda naye guest!! Shame!!
Umerogwa eheeeee!!!!!Michelle nasubiria uje.......Niko mtaa wa pili huku natumbua mimacho tuuuuu!
Ndio huo huo ambao na mimi naujuaHuu mwandiko kama naujua vile!
Niambie SHAROBARO
Mwingine huyu, katoka kupiga mswaki!
:A S 13::A S 13::A S 13:
Yaani Babu ni . . . . .
Halafu wajukuu mmekaa kimyaaaa ??!1
Dah!!! Aiseeee
Unanizingua sana mtu wangu,tufanye kweli basi,yaani hadi kanisani wanauliza tuna mpango gani??mi nataka tu-prove watu wrong na masredi yao ati????fanya kweli mpz!!Naku😛ray2: sana usinisemelee kwasababu nita :A S 20::A S 20::A S-cry::A S-cry:sana, mchungaji mnoko sana atani :ban: mwezi mzima
Plse nitaharakishavkuja kwenu kutoa mahali ili baadae ukisha pata:mimba: tuanze kuitwa baba na mama tuje tuwape darasa wana JF kama hawa walioanzisha hii sredi, fanya mpango basi uni :A S 101:
Sema :amen:
Unafikir natania anajiita RAIS WA MASHAROBARO:A S 13::A S 13::A S 13:
Yaani Babu ni . . . . .
Halafu wajukuu mmekaa kimyaaaa ??!1
Mzima wewe lakinihabari ndo hiyo!
Unanizingua sana mtu wangu,tufanye kweli basi,yaani hadi kanisani wanauliza tuna mpango gani??mi nataka tu-prove watu wrong na masredi yao ati????fanya kweli mpz!!
Hii statement kama vile sielewi elewiUnanizingua sana mtu wangu,tufanye kweli basi,yaani hadi kanisani wanauliza tuna mpango gani??mi nataka tu-prove watu wrong na masredi yao ati????fanya kweli mpz!!
Naunga mkono hoja hii 10000000000000000%
Mioyo ya Mabinti Woooooooooooooooooote imebadlika sana!!!!!!!
As long as Wallet ipo safi (max $300), unaweza kuchukua binti yeyote yule na kwenda naye guest!! Shame!!
Somo lilishafikiwa muktadha, thread ikageuzwa Chat Room kwa hisani ya watu wa Marekani kitengo cha Gongo La Mboto!
Hivi Gongo na Mbali wapi Mboto?
Mzima wewe lakini