vitoto vina stamina dada ha ha.namtamani sana babu DC hapa.
unajua vijana wa siku hizi sijui ni nini ila kiukweli ni waoga sana wa maisha na wao wanategemea life ambayo ni mdondo so matokeo yake ndo yakutoka na wake zawatu. kiukweli mimi kama mama kuliko nitoke na kiserengeti boi bora nikatafute zee lenzangu kieleweke ila kitoto cha nini sasa?
wamezoea single life,wadada wa sasa ni karaha saa zingine. heri wabakie friends with benefits.khaaa! hivi kweli kizazi gani hiki? hope huu ni utani sitak kuamini ninachokisoma hapa.
namtamani sana babu DC hapa.
unajua vijana wa siku hizi sijui ni nini ila kiukweli ni waoga sana wa maisha na wao wanategemea life ambayo ni mdondo so matokeo yake ndo yakutoka na wake zawatu. kiukweli mimi kama mama kuliko nitoke na kiserengeti boi bora nikatafute zee lenzangu kieleweke ila kitoto cha nini sasa?
Ha,ha,ha,haaaaa!Wanasemaga eti vizee rigwaride haviliwezi!
usiseme aisee ng'ombe hazeki maini hata siku moja. anaweza akakutoa na kimoja kitakatifu. utalinganisha na vitoto ambavyo unakuja kuvifunza? sasa ewe nenda katafute lishuga mami nisikie yaani nitakutandika fimbo lol! uache kurusha roho na vijana wenzako damu inachemka wataa kuja kupewa shombo za uzeen na kukalizwa eda iso wombolezaji.
Waliokuwa wanatetea kuwa bora wake za watu waliji defend kwa point zipi!? yaan kwanini ni bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu!?
Hii ya wake za watu imeniumiza sana kwani hata mimi nina mke. Ila hao vijana wanaotamani wake za watu si kwa sababu wanawapa raha sana bali yale yale ya kutaka vya kupewa na huu ni uvurugaji kwani nini yeye asijibidishe akawa na mke wake?
Tatizo vijana hawaeleweki,akikuambia anakuja haji,mara nirushie salio,mara sijui saloon mara sijui nini,lakini kwa shugamami saafi kila kitu mteremko,lainiiiiiiiiiiii!
khaaa! hivi kweli kizazi gani hiki? hope huu ni utani sitak kuamini ninachokisoma hapa.
vitoto vina stamina dada ha ha.
on a serious note natamani JKT irudi atleast watu tutapata kujua maana ya hard work na uvumilivu
wamezoea single life,wadada wa sasa ni karaha saa zingine. heri wabakie friends with benefits.