Waliokuwa wanatetea kuwa bora wake za watu waliji defend kwa point zipi!? yaan kwanini ni bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu!?
hebu hapo mdau twende sawa,unajua mahusiano ya kimapenzi ni raha na sio mateso,kuna changamoto zenye mantiki lakini zingine na hasa hizi zilizopo kutoka kwa mabinti ni upumbavu,siwezi kuita changamoto bu ts hell in a cell,we unaona kijana anahangaika na maisha ni hatari,unashindwa kutambua hilo instead unamgeuza baba yako kwa maslahi yako ya kishenzi. unategemea kijana atakaa na kukuvumilia,ndo maana vijana tanaamua kumove out na big mamaz coz they care.so kama watabadili katiba za maisha yao ya kipuuzi bac tunaweza kufanya mchakato wa kurud.but otherwise mmmmmmmmmmmhh!!! watalenga nyota kwa mawe.
Point kubwa ni kuwa mke wa mtu hata kudai wewe hela, sana sana atakupa hela, wewe kazi yako ni kupanda tu unavyotaka. Na unalipwa , basi.... wasichana walio single wanataka kwenda na wakati saloon, umpe simu, vocha, usafiri na disco...beach sasa vijana waliochoka wanaona hilo ni tatizo.
jiulize mko wangaapiiiPoint kubwa ni kuwa mke wa mtu hata kudai wewe hela, sana sana atakupa hela, wewe kazi yako ni kupanda tu unavyotaka. Na unalipwa , basi.... wasichana walio single wanataka kwenda na wakati saloon, umpe simu, vocha, usafiri na disco...beach sasa vijana waliochoka wanaona hilo ni tatizo.
Kwa nini mtu unahangaika na mke wa mtu au jimama lilikuzidi umri miaka nenda rudi....
Kila umri una raha kutegemea na kitu apendacho mtu.....
By thre way wewe na wenzio muoe jamani miaka 30's hamjaoa mnataka mkioa NSSF zenu mtumie kulipa ada ya chuo? Vijana oeniiiiiiiiiii
Tuoe nini wakati ndoa hakuna? Ukitaka kuvuruga furaha ya maisha yako ao/olewa.