Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
Halafu Bodi imewacheleweshea bumu basi tunakomaje.
Nina michepuko na njia kuu 3 zote zimecheleweshewa bum.
Nimeamua kuzitia kwenye blacklist hazinipati kwa hewa.
Hivi simu ya tochi inaingia jF
Kwhyo wa Uganda ni katenda mubi au katenda mulungi??
bhali bhullunji nyo.Kwhyo wa Uganda ni katenda mubi au katenda mulungi??
yaani majanga.
abhakazi bha buganda abhayaye
Hivi simu ya tochi inaingia jF
kikubwa badili style yako ya utongozaji also tafuta type yako....ila pole kwa mikasa
mnawaokotaga wapi?
Hayo tumezoea tunayaita mizinga 21 ya heshima.