Mabinti punguzeni ushamba mnapokuwa hotelini

Alikuwa anakucheki wewe ka bahili, ila kafanikiwa kujua wewe kimeo huna moyo wa kutoa
 
Sasa kwanini usimkataze palepale,kosa ni lako wewe mwenyewe,wewe ndio mwanaume halafu hela unatoa wewe,kwanini usimwambie ukweli,no hiyo usiagize,hiyo acha sina hela leo,acha ushamba wako wa kuagiza vitu kwa fujo,acha ulafi wako n.k.,haya ndio maneno uliopasawa kumwambia ila angekuwa mkeo ungetoa mpaka na matusi na kashfa juu,possibly huyo alikuwa ni girlfriend....
 
Mi nilifikiri ushamba wa kutokujua kutumia 🍴 yani kipi kinashikwa mkono gani...kumbe ni chakula!!

Acha uchoyo uingie mbinguni Chief

🤪🤪🤪🤪🤪ila inatia hasira sana mtu kufanya vitu kwa kukomoa 😝😝pole

Hivi mdada unaanzaje kugusa gusa chakula then uakiache🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️Labda niwe naumwa aise vinginevyo nitasafisha sahani yote wahudumu wanione nuksi
 
Tatizo sio bei tatizo ni kuagiza usivyoviweza.
Umeshindwa nini kumwambia? Anawezaje kuagiza vitu kibao na asivile? Mimi navyojua ukitoka na mtu mara nyingi nmakula chakula sawa.kama mmeshiba mnaweza kuagiza vinywaji kiasi.
Hao wanawake waroho mnawaokotaga wapi?
Kama una malengo nae mwambie next time aagize chakula anachokiweza huo ndo uanaume.
 
iv dea jomoneeeeh una nn wee lol.
 
Na wewe mkuu acha ushamba wa kuitaita mademu wasiojitambua na kuwapeleka sehemu zinazojitambua.

Watu kama hawa unawapeleka uchochoroni maji lita 1 bei ikizidi buku jero, msosi ukizidi 5k. Acha aagize sasa kwa ushamba wake mpaka akome.
 
Na wewe mkuu acha ushamba wa kuitaita mademu wasiojitambua na kuwapeleka sehemu zinazojitambua.

Watu kama hawa unawapeleka uchochoroni maji lita 1 bei ikizidi buku jero, msosi ukizidi 5k. Acha aagize sasa kwa ushamba wake mpaka akome.
Nimejifunza kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…