Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
Hapana mkuuMkuu Kuna pahala umepigwa za uso Nini ! Relax man !!!
Mimi binafsi nimeoa mke, sikuoa hizi type mbovuMzee baba umeangukia pua nini, hapa jirani kuna mchizi alikuwa na demu wake sasa uyo demu alikuwa amesoma kimtindo sasa jamaa aliona dharau zimezidi alichokifanya ni kuchukua vyeti vya demu akavichana ikawa mwisho wa nyodo,
Keep it upSawa nimekusikia.
KwannPamoja na yooote, Tanga usioe akiwa hana elimu ya darasani
Wanawaza mapenzi tuKwann
KwannHii week iishe tu
Mmetuandama sana humu ndaniKwann