jamani naomben kuuliza.kwnn wanawake wamarangu wanapenda pesa kulko mapenzi ya dhati,utamkuta mwanamke wakimarangu mume hakiishiwa 2 mke anakuwa ana heshima baada ya mda anakuacha.ila ukipata 2 anarudi jaman cwaelewi ni wanawake wa aina gani?.Kingne ukioa mmarangu ucpokuwa makin unafilicka kabsa yani nitabu.jaman hawa wakiendlea hvyo watkuwa ni wakumika na c
wakuoa kabsa katka dunia hii ya leo.Ila wanawake punguzeni kupenda hela na ndo maana matatzo ya kifamalia inaongezka kila cku kuliko kupungua.Jaman 2washauri wanawke wa kimarangu na
wanawake penda pesa wabdilike
Jamani tuacheni stereotypes hizi. Mimi nawajua mabinti wa huko zaidi ya mmoja wako fresh tu, wachakalikaji.
Tena mmoja alikuwa hajaridhika na kazi ya mumewe, mumewe akawa yuko poa tu, binti ndio ikawa kama kazi yake kutuma ma application, mpaka jamaa kaitwa kwenye interview kapiga mzigo akawa anachukua usawa karibu mara tatu wa awali.
Sasa binti kama huyu mpenda maendeleo na mchakalikaji, anajua hata kumsaidia mumewe kama mumewe hachangamki, unaweza kumsema vibaya kweli?
Halafu mtoto ana heshima zake zote kitu ambacho ni nadra sana kupata siku hizi.
Sasa nikimkumbuka huyu binti halafu nikisikia watu wana generalize mambo kama hivi, najisikia vibaya sana.
Watu hawako monolithic kufuatana na makabila yao, na habari yoyote inayo generalize tabia za watu kwa makabila inabidi angalau iwe qualified zaidi.
Kiranga cjasema wote ila wengi wao wako hivyo na huwa weng huwazidi wachache nazani umeelewa sasa
hama kweli kizaza za mambele hki ila hela haiziki mtu
Acheni uzuzu, demu mpenda hela mega then tembea. Unakaa nae wa nini wakati mzazi wako analia njaa kijiji? Wewe ulipokuwa unasomeshwa na mzazi yeye alikuwa anafundishwa kuchuna nini? Wapo mademu kibao wasiomind mkwanja.