Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,723
na kwa staili hiyo utakuta anachukua kombe!timu bora zinatolewa kwa hila za kupaki gari!wanasahau sisi mashabiki tunahitaji zaidi ya ushindi!mpira starehe bwana!
Ndo mbinu pekee aliyonayo maureen tofauti na hapo ushindi wao ni wa ujanjaujanja na kubahatisha tu!
Mashabiki wa Man U utawajua tu. Kashangilie Moyes kuondolewa kibarua chake.
Kwanza nimefurahi Moyes kufukuzwa,pili inabidi ukubali chelsea ni mabingwa wa kupaki basi.
Mpira gani inacheza timu moja? Huu ni uhuni kabisa.Jana nimeboreka sana kwa mpira wa Chelshit.
Mtaelewa tu, cha maana ushindi haijalishi mbinu gani umetumia kuupata
Kwanza nimefurahi Moyes kufukuzwa,pili inabidi ukubali chelsea ni mabingwa wa kupaki basi.
Mpira gani inacheza timu moja? Huu ni uhuni kabisa.Jana nimeboreka sana kwa mpira wa Chelshit.
Kwanza nimefurahi Moyes kufukuzwa,pili inabidi ukubali chelsea ni mabingwa wa kupaki basi.
Mpira gani inacheza timu moja? Huu ni uhuni kabisa.Jana nimeboreka sana kwa mpira wa Chelshit.
Mpira una mifumo mingi ya kucheza:
4-4-2.
4-3-3.
4-2-3-1.
4-5-1.
4-1-4-1.
4-6-0.
Ma mingine mingi. Jana Chelsea walicheza 'narrow' 4-3-3.