Mabilioni yaliofichwa uswissi yaongezeka

Mabilioni yaliofichwa uswissi yaongezeka

BJEVI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
1,359
Reaction score
251
Benk ya uswissi imesema fedha za watz zilizokuwa zimewekwa ktk benk za nchi hiyo zimeongezeka kutoka usd 3.6 bill mpaka kufikia usd 5.4 bill kulingana na taarifa ya ndani ya mtandao wa reuters fedha hizo zimeongezeka ndani ya kipindi cha mwaka jana na mwaka huu.

January 11 mwaka huu balozi wa uswissi nchini tz aliliambia gazeti la mwananchi kuwa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na serikali ya tz kufuatilia fedha hizo.

Siku chache baada ya mazungumzo ya mwananchi na balozi wa uswissi,mwananchi ilimtafuta mwanasheria mkuu wa serikali ndg.werema ili kuzunguza jambo hilo na kujibu kuwa hawezi kuzunguza lolote kwani balozi huyo ni mtu mdogo kwake.

Source;mwananchi 27/09/2013.

my take;
mbona hakuna uwazi kwenye suala la fedha za uswissi? na kwa nini hili jambo ni kinyume na sifa anazopewa kikwete hususani kupitia kwa Rais obama kuwa ana serikali inayoendesha mambo kwa uwazi?.au ndo kusema watz tunaibiwa mchana kweupe?
 
Wacha wale tu,watanzania ni yatima sasa
 
natafuta kadi ya CCM najua hizi fedha lazima 2015 zitagawiwa vijana wajasiriamali.
==|serekali ya ccm inaendeshwa kwa uwazi asante obama
 
vipi na zilizofichwa kwenye mabenk ya ndani nazo zimeongozeka au?
 
Mmesikia AG Werema anavyojibu?
Hiyo taarifa ilitolewa na Balozi wa Uswiss Tanzania ndg Olivier Chave lakinimajibu ya Werema ni kizungumkuti

Anasema'Najua huyu balozi ana kinga,ila siyo adabu hata kidogo kuzungumza maneno yale kwenye nchi ya watu,kama ingekuwa ni balozi wa Tanzania huko Uswiss kasema maneno haya,angeambiwa tu arudi nyumbani kupumzika hadi watakapomuhitaji'

Wanataka bado iendelee kuwa siri isieleweke kwa watu
 
vipi na zilizofichwa kwenye mabenk ya ndani nazo zimeongozeka au?

Za mabenki ya ndani zinatmika humu. Zule za uswisi wanatukopesha kwa masharti kama ya kubinafusisha VYOTE Mpaka wake zetu, kuua viwanda, kuwa GMO products, kupanda mibono kuua mashamba, mikataba ya madini mibovu nk. Yaani tunaijamaliza wenyewe kama kukata tawi aL MTI ULILOKALIA.
 
Haya ni matunda ya wapiga kura no one to blame ccm ibeni na nchi ipelekeni uswisi.katen na kodi za simcard za uswisi no!
 
Benk ya uswissi imesema fedha za watz zilizokuwa zimewekwa ktk benk za nchi hiyo zimeongezeka kutoka usd 3.6 bill mpaka kufikia usd 5.4 bill kulingana na taarifa ya ndani ya mtandao wa reuters fedha hizo zimeongezeka ndani ya kipindi cha mwaka jana na mwaka huu.

January 11 mwaka huu balozi wa uswissi nchini tz aliliambia gazeti la mwananchi kuwa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na serikali ya tz kufuatilia fedha hizo.

Siku chache baada ya mazungumzo ya mwananchi na balozi wa uswissi,mwananchi ilimtafuta mwanasheria mkuu wa serikali ndg.werema ili kuzunguza jambo hilo na kujibu kuwa hawezi kuzunguza lolote kwani balozi huyo ni mtu mdogo kwake.

Source;mwananchi 27/09/2013.

my take;
mbona hakuna uwazi kwenye suala la fedha za uswissi? na kwa nini hili jambo ni kinyume na sifa anazopewa kikwete hususani kupitia kwa Rais obama kuwa ana serikali inayoendesha mambo kwa uwazi?.au ndo kusema watz tunaibiwa mchana kweupe?

Hizo zilizoongezeka zitakuwa ni za "SEMBE" fuatilia utatujuza humu humu jamvini
 
Lazima ziongezeke, we huoni kadri madawa ya kulevya yanavyopigwa vita ndio kadri usafirishaji kwa njia mbalimbali unavyoshamiri? Ndio wanajihimiza kufanya kwa bidii ili dawa ikipatikana wawe wamejaza hiyo bank pesa za kuwatosha. Na hawatatosheka kamwe na hawatazila kamwe in the name of Jesus
 
Hiyo issue tutaishughulikia wacha kwanza tumalize ya "Masogange".....wa-Tanzania kila kukicha tunadanganywa na chips na vijibajia kama watoto.
 
Haya yote yanafanyika kwa sababu wanajua watanzania ni wapumbavu na hatuna cha kuwafanya!
Halafu tunaambiwa hii ni serikali inanayofata utawala wa sheria na uwazi!
 
Back
Top Bottom