Mabilioni ya Sweden ya umeme vijijini yako wapi?

Owuocha

New Member
Mar 28, 2011
4
0
Hivi karibuni serikali ya Sweden ilitoa mabilioni ya fedha kwa serikali ya Tz kwa ajili ya umeme vijijini lakini mpaka sasa ni kimya tu! Ukosefu wa fedha ndio chanzo cha maendeleo kukwama lakini fedha tunazo sasa. Mbona hakuna utekelezaji mpaka sasa! Hizo fedha ziko wapi?
 
Hivi wewe haujui serikali yetu hii! Ziko kwenye mpango wa uchakachuaji. Hivi karibuni utashangaa wakubwa wanajenga nyumba kubwa kubwa.
 
Kwani wakandarasi wa 'kutelekeza' huo mradi si walipatikana? Nadhani moja ya kampuni iliyoshinda ni kampuni ya kizawa ya Urban and Rural Engineering...
 
subiri kusikia habari za kifisadi kuhusu huo mradi, TZ kupata habari njema kuhusu fedha za miradi ni sawa na kipofu kuona mwezi.
 
Back
Top Bottom