Mabilioni Uswiss: Mbunge yeyote anayedai anayafatilia, anaudanganya umma

Jaman kabla zitto hajatuambia nan alyetuambia..nyote wanafk tu,nyote mnamuogopa zto face to face..mkubal zto watanzania wamkubal,na natangaza waz#yeriko nakuchukia bas tu

Kunichukia mimi ni kama ugonjwa unaouendekeza bila kuutibu,

Tiba yangu ni kumwambia zitto na wengine waache siasa za kinafiki,

Nje ya siasa sina tatizo kabisa na Zitto, tena ni mshikaji wangu wa kweli,

Tatizo ni siasa zake tu,
 

Hadithi yako ni nzuri kweli kuwalazia watoto watukutu. Sasa tuambie, kwamfano wewe unataka kuchunguza watu walioweka pesa haramu pale CRDB, kama raia wa kawaida usiye na mamlaka yeyote yanayotambulika toka serikalini, unaanza vipi?
 

Nchi iko na wajinga wengi hawawezi elewa ulichoandika mkuu, unatibua games that Zitto plays.
 

Aisee wewe una umri gani? mbona unawaza kitoto yaani unafikiri Zitto anaweza kuja na orodha ya watz walioweka pesa uswizi na kuwezesha hizo pesa zirudi, unachekesha sana. kwa nini aende uswizi wewe mwambie akaombe file la kagoda pale CRDB kwenye akaunti ambayo ziliingia bilioni 40 za EPA akipewa ndio aende uswizi. nasikia eti kuna cd huko site ina majina ya jamaa waliweka pesa uswizi anataka kuinunua hapa matapeli wa kinigeria wanamtafuta wapige hela. ingeingia akilini kama angeenda kwenye mabenki husika ajieleze kuwa yeye ni mwanaharakati anaomba apewew taarifa za watz wenye fedha kwenye mabenki ya uswizi, huu ukanjanja wa cd ni usanii wa Zitto anatembelea ujinga wa watanzania. Hii nchi iliwahi kudanganywa yote ikaenda loliondo sijui kama mnakumbuka?
 
Kiukweli nakuunga mkono mleta mada,hakuna mtu mwenye uwezo wa kufatilia hizo pesa za Uswizi bila ya kuwa kwenye mamlaka husika na serilkali.Polojo,siasa na uongo ndizo zinaendelea kutusumbua Watanzania.Zito kama Zito na Zito kama Mbunge hana uwezo wa kupewa hayo majina ama account ya mtu aliyeficha pesa huko ughaibuni.
 
kwani kuna shida gani kusubiri kuona matokeo yake? Akifanikiwa sura zenu mtaweka wapi?
 
Zitoo anajichenga na kujifunga mwenyewe
kabla ya hapo ange muuliza mtei kama inawezekana sio kukurupuka
 
kwani kuna shida gani kusubiri kuona matokeo yake? Akifanikiwa sura zenu mtaweka wapi?

Kuna mtu apo juu ameweka sheria za uswiss zinazoongoza mabenki kwa wateja wa nje.
 
ni report ya benki kuu ya uswiss ndo ilitoa orodha ya jumla ya pesa toka kila nchi wateja wanakotoka bila kutaja majina. Sisi ndo ikaanza ya kufuatilia kila mtu anadai anazifuatilia

inshu.mi knachoniuma hv kwann cc watanzania hatupend kupongezana..hi inankumbusha ndo manatulkua wakat tulkua tunaingia kmyakmya na tunaondoka kmyakmya,mambo ya vyama,tuweke pemben na tupunguze husda.
 
kunichukia mimi ni kama ugonjwa unaouendekeza bila kuutibu,

tiba yangu ni kumwambia zitto na wengine waache siasa za kinafiki,

nje ya siasa sina tatizo kabisa na zitto, tena ni mshikaji wangu wa kweli,

tatizo ni siasa zake tu,

wewe tatzo lako unatabia ya kuattack personality ya mtu,jambo ni violance,
 
Zito, Zitto, Zittoooooooooo anaua chama, cdm tunalia machozi ya mamba, mrudishieni nafazi zake zoooote ndani na nje ya chamaaaaaaaaa, la sivyo hauna cdm hadi Christmass. TYETeteeeeetetetye
 
KRAAAAAPPPP... hakuna kitu hapo ni aiaaa tu umeleta, mmwizi anapiga filimbi wapi? Zitto hana moral authority

Ymesahau y Maria kyejo?
 
Mkuu kama ni kumpongeza tayari ilo limeishafanyika.

Tunaangalia zaidi impact ya mtu mmoja mmoja kuuaminisha umma kwamba anafuatilia mabilioni ya Uswiss wakati anajua hawezi na Bunge haliwezi.

Tuko kwenye mchakato wa katiba mpya ikitokea mihimili mitatu ya dola yani serikali, bunge na mahakama haiko huru na watu watakaohoji iwe huru watapata shida. Wataambiwa bunge tayari lina nguvu mbona mwenzenu alikuwa anafuatilia mabilioni ya Uswiss wakati ni kweli halina meno.

Ingekuwa vizuri mtu akapita nchi nzima kuwambia wananchi ukweli kwamba bunge na wabunge hawana ubavu kufuatilia mabilioni hivyo mageuzi ya kimfumo ni muhimu. Hapa unaweka tayari kuikataa katiba mpya isiyokizi viwango vya kuwatia adabu.

Hoja nyingine ni kwamba mbunge mmoja anapojipambanua kwamba ndo kinara wa kufuatilia mabilioni basi wengine inawakatisha tamaa kwani ni wazi wangetaka wakae kama group ambalo idadi yake inakuwa na effect kwenye upigaji kura bungeni.

Wangegoma kuipitisha bajeti ya serikali na ingewezeka kuipunguza bajeti ili na kuishinikiza serikali serikali ifuatilie zile hela uswiss ziongezwe kwenye bajeti.

Naelewa rais anaweza kulivunja bunge kama likikataa bajeti (rejea mada kuu). Ikitokea amelivunja bunge na sababu ni kuikataa bajeti yake ili serikali ifuatilie mabilioni ya uswiss basi hapa ndo ushindi kwa wananchi na wale wote au yeyote aliyewaweka wabunge wenzake chini kuishinikiza kwa njia hiyo angepongezwa.

Kwa maelezo hayo utakubaliana nami kwamba ishu ya mtu mmoja kufuatilia mabilioni inafunika hoja za msingi

inshu.mi knachoniuma hv kwann cc watanzania hatupend kupongezana..hi inankumbusha ndo manatulkua wakat tulkua tunaingia kmyakmya na tunaondoka kmyakmya,mambo ya vyama,tuweke pemben na tupunguze husda.
 

Hilo nilikuwa najua na kuna thread nilichangia hilo ila mods wanaofanya prepadory moves against me hawakosekani.Walinipa ban na sababu zakitoto kweli..mara nimemtukana Pengo, mara nimewatukana waislam, mara sijui nini..huwa siku hizi napenda ban ili nikifunze saikologia ya mods.Kila thread niwekayo mods huivutia kasi..kwa kuweka ingine,then wanaiunga,halafu wanafuta kabisa.


Nijuavyo ni kwamba Hizo bank hufany akzi na utawala mpya unaotambulika na wenye mipango mathubuti ya matumizi ya hizo hela.Huku wakitakiwa kupitishwa na Bunge.
 
Tutaona na kusikia mengi kuelekea chaguzi za ndani ya baadhi ya vyama vya siasa na pia Uchaguzi Mkuu wa nchi ili mradi kila mtu anakuja amevaa sura tofauti kwa malengo maalum.

Neno "kufatilia mabilioni yaliyofichwa nchi Uswiss" lina utata kimantiki kama litawekwa katika narrow view bila kuangalia kile kinacho contribute katika kujulikana au kupatikana hayo mabilioni ya US dola au Tsh "yaliyofichwa" Uswiss.

Je huyu Mtanzania anayepita huku na huko anasema yeye atayarudisha hayo mapesa (kama yapo) au anasema anakata kuwafahamu waliweka/kuficha hayo mapesa ili vyombo vya kisheria viweze kuyarudisha kwa wenyewe (Watanzania).

Kama tunataka kujenga hoja katika misingi ya kisheria ingekuwa vizuri kupata neno la huyo Mtanzania anayesema hiyo/hizo statement na kama alisema, iko wapi quotation yake ili wananchi waichambue katika misingi ya kisheria.
 
hili jukwaa limekaa kiumbea umbea2, kwan yy ni mara ngap amekuw akilizungumzia hilo swala kweny media hiv kama nyinyi mnaona anapotosha uma kwann mnashindwa kumchallenge kuhusu hayo msemayo ili hata wale watz wasio weza ingia jf wajue ukwel upo wap kupitia majibu yake? tuache unafki
 
Hii ndio chadema kwa wale ambao mlikuwa hamuijui vizuri, hoja ta kupambana na ufisadi inawaty ambao ndio wanapaswa kuiibua,yaani kitendo cha mbowe kuwa miongoni mwa watoroshaji wa fedha ma kuhojiwa na tume ya Jaji Werema,ufisadi sasa umegeuka ushujaa na Zitto kageuka adui kwa kuwa ndio kaisimamia. Mbowe anatumia pesa nyingi kuwalipa aki na Yariko na Saanane ili wakeshe na kushinda mitandaoni.
Hoja za watanzania ni kupinga aina yoyote,ya ufisadi, Zitto kuiibua hoja na kila mtanzania kuijua ni uzalendo wa hali ya juu na ndio mana katika mgogoro huu,watanzania wengi tunamuunga mkono Mh.Zitto kwani analinda na kusimamia maskahi ya umma.,ni mjinga na mbumbumbu anaeweza kubedha umakini wa zitto katika kusimamia maslahi ya nchi.
Zitto apaswi kuogopa kufuatilia Mabilioni ya uswis eti kwa kuwa Mbowe ametorosha fedha.kuhusu kufanikiwa kwa hoja au kutofaulu hakupaswi kumrudisha ZZK nyuma,kwani mangapi Zitto aliyaibua na akabedhwa lkn mwisho akashinda?mbona Slaa na aki na mbowe wametembea nchi nzima kukusanya maoni ya katiba wskati wanajuwa kuwa wenye mamlaka ya kufanya hivyo ni tume ya warioba? kwanini maoni yao yalikataliwa na tume ya warioba lkn bado wakaendekea na harakati licha ya kujuwa kuwa kufanikiwa kwao ni mpaka serikali iwakubalie? kwanini hawakati tamaa kujenga hoja bungeni wakati wanajua maamuzi ya kura bungeni watashindwa? kwanini akifanya Zitto iwe nongwa lkn wakifanya watu wenu iwe ushujaa?
Zitto,nguvu ya umma alianzia NCCR,ilipokosa kile walichokitegemea ikahamia CUF na waliposhindwa kuyapata matumaini ndio hawa wakaja Chadema, watanzania wanamwunga mkono mtu yeyoye anaepinga ufisadi bila kujali huyo fidadi anatokea wapi na chama gani,sasa nguvu ya umma ipo nyuma ya Zitto na ndio mana chama kipo ICU kwa kumfanyia uzandiki kijana mzalendo alibakia kama tumaini pekee la watanzania.Chapa kazi Zitto ukweli tumeshaujua,waache wasaka tonge wapore na kutafuna pesa za wanachama,we endelea kututumika maana mafisadi wameungana na mfisadi wa chadema ili kukutenza nguvu usifuatilie Mabilioni ya uswis.
 
ungetumia daki chache kufikiri nilichoandika hata usingejibu kama mlevi hivi but nimekusamehe bure mtoto mzuri eee!!!!hebu rudia kunisoma vizuri
 
Hadithi yako ni nzuri kweli kuwalazia watoto watukutu. Sasa tuambie, kwamfano wewe unataka kuchunguza watu walioweka pesa haramu pale CRDB, kama raia wa kawaida usiye na mamlaka yeyote yanayotambulika toka serikalini, unaanza vipi?
na wewe jiulize kama kusingekuwa na shinikizo kutoka kwa wanasiasa na wadau wengine unadhani serikali ingehangaika na issue nzima ya epa?kama slaa alishikilia kidedea issue ya epa hadi yakatokea yaliyotokea,kwa nini zitto ashindwe kwa issue ya mabilioni ya uswizi na kwingineko?au coz slaa ni mtu wenu so anaweza na zitto sio mtu wenu so hawezi?THINK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…