Mabilioni Uswiss: Mbunge yeyote anayedai anayafatilia, anaudanganya umma

Niliwahi kusema hapa JF huyu jamaa anataka umaarufu na hakuna taarifa ya pesa atakayoleta hapa. NIlikataa kama Zitto ana uwezo huo - kuna watu walisema niache roho mbaya!

Zitto amekuwa kwenye project ya kujengwa na Usalama wa Taifa - na project Zitto ilikuwa ikiendeshwa kwa kushirikiana na vigogo wakubwa wa serikali. Zitto hakuwa anakijenga CHADEMA bali akuwa anajengwa yeye mwenyewe. Na ujenzi huu ulikuwa ni kuanzisha projects zisizo na kichwa wala miguu a kupewa zitto aziendeshe! Kumpa scoops za kijinga tu ambazo matokeo yake ni kwa ajii ya kuumiza targets tofauti ndani ya CCM.

*Kimsingi Zitto amefaidika sana na vita ya MAKUNDI ndani ya CCM kwa msaada mkubwa wa Usalama - Zitto alikuwa ndie firing man wao. Wakamjenga kwenye media wakisema ni mwanasiasa kijana machachari!!!!

The truth is the man is sooo cheap! hata waliokuwa wamemkamata kichwa walijua bei yake

* Kuna habari kuwa anataka kuoa mtoto wa Jakaya Kikwete! KRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR stay tuned!!!!!!!!!!!!!!!!


*project za Zitto ni nyingi. Ni wa kuhurumia maana sio yeye aliyekuwa anapanga hii michezo bali watu wa UWT. Walikuwa wakimtumia kumpandisha jina ili waje kumtumia kubomoa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom