Mabilionea wa bongo wana mbwembwe

Hajavunja Sheria na hela ni zake, swala la kwamba kazipata wapi namna gani yeye ndiye anajua
 
Ila kukosa pesa ni kama tu mapungufu ya akili, anachokifanya pale wewe usiye na pesa unakosoa unataka umfundishe namna ya kuishi juu ya pesa yake, ila wewe umeshindwa kuitafuta uipate kama yake ili uishi kwa namna unavotaka aishi yeye! Yaani unabeza lifestyle ya mwenye pesa ambaye humfikii zaidi ya kumfuatilia mitamdaoni. Oyaaa tafuteni makuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…