Mabilionea hawa watano wameisaidiaje Tanzania, pili unapata picha gani fikiri kwa makini

Dah jamaa yangu usiwe hivyo u will never become a great thinker m teling u..u know I can figure out your thinking framework...unajua nlivyokua nawasoma hawa mabilionea sikuwatizama katika hizo hesabu zako za kidini, ndo umenisababisha niiangalie upya iyo orodha!

kweli mkuu mi mwenyewe sikufikiria kiivyo, jamaa udini umemkaa sana.
 
Back
Top Bottom