Amani Ndoroma
Member
- Aug 14, 2018
- 71
- 22
Habari wakuu...embu naomba utuuelze uzuri na ubaya Wa kukaa hizi hostel mbili....
miminimesoma udsm enzi hizo hakuna magufuli hostel miaka yote minne niliyosoma udsm nillishi mabibo hostel napapenda saana mpaka kesho mwaka wa kwanza block c room number 127 second year block c room number 232 mwaka watatu block D room number 333 mwaka wa mwisho block c room number 118Habari wakuu...embu naomba utuuelze uzuri na ubaya Wa kukaa hizi hostel mbili....
enzi hizoblock a abd b wanakaa wadada and block c d and e wanakaa wakaka then block f wanakaa masters sijui kama niko nakumbuka vizuri enzi hizo vc ni mukandala mzee wa muhaya hatari prof ******* na masawe walimu wangu wa MT and marehemu dr mugaya ndio alikuwa my final year project supervisormiminimesoma udsm enzi hizo hakuna magufuli hostel miaka yote minne niliyosoma udsm nillishi mabibo hostel napapenda saana mpaka kesho mwaka wa kwanza block c room number 127 second year block c room number 232 mwaka watatu block D room number 333 mwaka wa mwisho block c room number 118
Zile "Expansion Joints" za hiyo ya pili uliyoitaja ni Utalii wa ndani tosha kabisa, ukiishi pale unapata "Rubudani". Na pili ni ukaribu wake na madarasa.Habari wakuu...embu naomba utuuelze uzuri na ubaya Wa kukaa hizi hostel mbili....
Ndio mmemsaidia hivi!??miminimesoma udsm enzi hizo hakuna magufuli hostel miaka yote minne niliyosoma udsm nillishi mabibo hostel napapenda saana mpaka kesho mwaka wa kwanza block c room number 127 second year block c room number 232 mwaka watatu block D room number 333 mwaka wa mwisho block c room number 118