Mabibo tupo gizani! Kwenu je?

Mabibo tupo gizani! Kwenu je?

Bitoz

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
30,823
Reaction score
126,632
Heshima kwenu sana JF
Wakazi wa Mabibo tupo gizani tangu jioni ianze...sijui kama sehemu zingine jijini DSM kuna umeme? Tupo gizani kama bundi...
Shikamoo Tanesco
 
Poleni Sana Mkuu Kwani Ukiachilia Mbali Kukatwa Kwa UMEME Hapo Mabibo Lakini Nina Uhakika Hata Pia Harufu Ya " Nnya " Nayo Mnaila Sana Na Mara Nyingi Kukiwa Hakuna Umeme Ndiyo Hata Harufu Yake Inasambaa Mno Kila Pembe Za Kijiografia.
 
Magomeni mapipa na mwembechai gizani tangu jioni
 
Mabibo niliyopo leo umeme upo tangu alfajiri mpaka wakati huu
 
Poleni Sana Mkuu Kwani Ukiachilia Mbali Kukatwa Kwa UMEME Hapo Mabibo Lakini Nina Uhakika Hata Pia Harufu Ya " Nnya " Nayo Mnaila Sana Na Mara Nyingi Kukiwa Hakuna Umeme Ndiyo Hata Harufu Yake Inasambaa Mno Kila Pembe Za Kijiografia.
simu ilizimika kabisa...ndo umerudi muda huu...
Acha kupacheka kwetu Mabibo..unazungumzia Mabibo Beach nini
 
Mabibo niliyopo leo umeme upo tangu alfajiri mpaka wakati huu
Hongereni..ndo umewaka now nimerudi kujidai hapa JF cpz kisimu changu kilizima kabisa
 
Kwetu tumewasha kibatari kwani ata umeme wenywewe haujafika
 
Back
Top Bottom