Mabibo mapenzi pia yapo

Mabibo mapenzi pia yapo

Inawezekana kwa sababu mabibo kubwa... ila mara nyingi nikitembeleaga mabibo sionagi hayo mambo...


Cc: mahondaw
 
Hahahahahaha tako kama tundu la kuingilia nyuki kwny mzinga
 
Du, mkuu pole sana. Inakubidi uende VCT kujikagua kwanza.
 
Dhaaaaaaaa hao mashakupe
Aiseee umenikumbusha vingungut
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
 
Yapata wiki sasa Toka niamie mabibo azimio .uswahili aswa kwa waswahili.
Maisha matam kidogo .ukiamka saubuhi misosi yetu ni

Supu ya mapupu .bandama koromeo nyie kuleni minofu sie tupeni utumbo atuna noma waswahili.

Mihogo,miguu ya kuku tunaita breki .chachandu ndimu kachumbali mbilimbi siye atuna noma nyie kuleni kuku mzima shingo filigisi . utumbo .ivo ndo chakula cha uswahili.

Basi bwana mabibo mapenzi yapo .Jana kulikuwa na kigodoro nyumba ya pili anafundwa mwali

Chura kama zote .sio chura wa kidatu .chura wa mabibo .madera mipasuo kama imechanwa na nyembe.

Masela nondo Adi mavi .mashankupe wote walikuwepo. Uku MC machachali wa singeli ni dogo dunyu.

Apa na pale nikashika shankupe .nikalivutia gettho. Japo msela nikapate kujiuguza..

Tambua ilikuwa naight shankupe limejikwara Lina ng'aaaa ka jini jicho kodoooo .

Tukaingia ndani mechi ilikuwa Kali .mashuti nilishambulia .mashariki .magharibu.kusini nilishambulia .

Kuja kushtuka asubuhi ya saa 3 .naucheki mzigo pembeni duuuuuuuuuu

Kwenye chura kuna mapele kama Ganda la fenesi

Kweli mabibo mapenzi yapo pia
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom