Mabibi na mabwana This is Simba tunazianza rasmi sherehe leo

Mabibi na mabwana This is Simba tunazianza rasmi sherehe leo

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,400
Siku zote yanga ni watu wa kununa tu pale wanapofungwa
IMG-20180510-WA0084.jpg
IMG-20180510-WA0083.jpg
IMG-20180510-WA0082.jpg
IMG-20180510-WA0085.jpg
IMG-20180510-WA0073.jpg
 
Yanga mbele daima nyuma mwiko chama langu yanga tujiandae upya. Mwaka huu haukuwa wetu. Tokea siku ile yule mnyama ale miwa 7 ya mtibwa. Hapo ndo balaaa lilianzia.
 
Unajua ila swala la kuchukua ubigwa lilikua limezoelek sana pale jangwan kiasi kwamba walikua hata awapigi kelele wakichukua Ubigwa.
 
Wote wenye akili za hovyo hovyo mambumbumbu wanaojua kufoji na kununua vyeti wote wapo simba
 
Back
Top Bottom