Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Ulitaka CDM waende wote? hamkawii kusema nani aliwakilisha kundi la wanawake katika ujumbe ulioenda ikulu, watangayika kwa kuunga unga hoja hamjambo!! ndiyo maana hamna maji na umeme tangu uhuru!!Mara ya mwisho kuonekana kwenye harakati za Chadema ilikuwa kwenye mdahalo wa itikadi za vyama pale Movenpick, nilitegemea kwenye ujumbe ulio tinga ikulu kwa swala la mchakato wa katiba nae angekuwepo maana ni gwiji wa sheria. Yuko wapi jemadari na kamanda huyu wa Chadema?
Mara ya mwisho kuonekana kwenye harakati za Chadema ilikuwa kwenye mdahalo wa itikadi za vyama pale Movenpick, nilitegemea kwenye ujumbe ulio tinga ikulu kwa swala la mchakato wa katiba nae angekuwepo maana ni gwiji wa sheria. Yuko wapi jemadari na kamanda huyu wa Chadema?
Wakati mwingine kuuliza ni kurudisha mawazo kundini kwa kutambua umuhimu wa mtu.
Kejeli wakati wa kujibu huwa zinasadifu upeo uliogubikwa na ukame wa fikra.
Si kejeli. Ni kweli kamanda yuko bize akitetea wafujaji wa mali za umma kwa kisingizio cha uwakili wa kujitegemea. Huwezi kupingana na ufisadi majukwaani na ukautetea ufisadi huo huo kortini.
This type of reasoning is called "intellectual masturbation"!
Sawa, lakini yeye yuko wapi? Hivi bado yuko CHADEMA huyu mkongwe? Kwenye ujumbe aliwakilishwa na shughuli zingine za Chama anawakilishwa tu? Hata Arusha kwenye sakata la Lema hakuonekana.magwiji wenzake walimuawakilisha sio lazima kila mahali awakilishe yeye, wanasheria walikuwepo gwiji Prof. Abdallah Safari na Tundu Lissu, mchambuzi wa siasa Prof.Mwesige Baregu, M/Kiti taifa na makamu wenyeviti wake na kaimu katibu mkuu ambaye pia ni Mkurugenzi wa mambo ya Nje wa chama!!!Unaionaje hii List?
Umenikumbusha swali ambalo naliuliza ... Wanawake wa kuingia kwenye ile timu ya kwenda kwa Rais CHADEMA hawapo?Ulitaka CDM waende wote? hamkawii kusema nani aliwakilisha kundi la wanawake katika ujumbe ulioenda ikulu, watangayika kwa kuunga unga hoja hamjambo!! ndiyo maana hamna maji na umeme tangu uhuru!!
umenikumbusha swali ambalo naliuliza ... Wanawake wa kuingia kwenye ile timu ya kwenda kwa rais chadema hawapo?
Mara ya mwisho kuonekana kwenye harakati za Chadema ilikuwa kwenye mdahalo wa itikadi za vyama pale Movenpick, nilitegemea kwenye ujumbe ulio tinga ikulu kwa swala la mchakato wa katiba nae angekuwepo maana ni gwiji wa sheria. Yuko wapi jemadari na kamanda huyu wa Chadema?
Tulikuwa naye hapa Mbeya kwenye harusi ya mtoto wa kaka yake,iliyofanyika Matema beach,kuanzia cku ya ijumaa hadi j2!sio siri katika cku hizo nilifarijika sana kuwa naye,Mara ya mwisho kuonekana kwenye harakati za Chadema ilikuwa kwenye mdahalo wa itikadi za vyama pale Movenpick, nilitegemea kwenye ujumbe ulio tinga ikulu kwa swala la mchakato wa katiba nae angekuwepo maana ni gwiji wa sheria. Yuko wapi jemadari na kamanda huyu wa Chadema?
Nani angekwenda na nani angebaki? Hujui kwamba wanawake wa CDM wakohuko kutokana na matakwa ya watu fulanifulani? ulitegemea Kamili aende? owenya angejisikiaje ? au owenya aende, Lissu angejisikiaje? Basi wakaamua wawatose wote ili haki kutendeka. Mambo ya ajabu kweli.Umenikumbusha swali ambalo naliuliza ... Wanawake wa kuingia kwenye ile timu ya kwenda kwa Rais CHADEMA hawapo?
Wakati mwingine kuuliza ni kurudisha mawazo kundini kwa kutambua umuhimu wa mtu.
Kejeli wakati wa kujibu huwa zinasadifu upeo uliogubikwa na ukame wa fikra.
This type of reasoning is called "intellectual masturbation"!
Nakusamehe kwani una "thinking impotence"