Sijamsikia bingwa wa sheria mabere marando yuko wapi? pamoja na Fredie Mpendazoe, na Acardo Ntagazwa au wamewa-shibuda. hata katika kamati ya kwenda kumuona Rais wamewekwa pembeni. vivyo hivyo, nilitegemea Kitila Mkumbo angekuwa miongoni mwa wanakamati saba walioteuliwa kumuona Rais kwani ni mtambo katika kujenga hoja.
kuna tetesi kwamba kilichompoza marando ni kutetea mafisadi mahakamani akiwemo Jitu patel?
my take: 1. kama unatetea mafisadi unawezaje kujitenga na ufisadi?
2. marando anasimamia haki ipi kwa kachanganya sheria na siasa?
3. chadema hawawezi kuchafuka kwa kiongozi mkuu wa chama kuwatetea mafisadi?
4. je, marando hawezi kutoa siri za chadema kwa mafisadi juu ya namna chadema ilivyojipanga kuwashughulikia mafisadi?

Naona hii thread sio tu hainihusu, bali pia sijaona mantiki ya kuijadili.
mwanasaiasa kitu pekee anachosema ukweli kwa 100% ni jina lake tu.
1. Kama kamati ina wajumbe saba haiwezekani kila mwanaChadema au kiongozi awe kwenye kamati. Haiwezekani unless ufanyike mwuujiza!
2. Kuhusu Marando kutetea mafisadi - hili naona ni tafsiri yako tu kwa vile uelewa wako wa sheria ni mdogo. Nikuulize swali: Ikitokea wewe jinsi ulivyo ukatuhumiwa kutetembea na mke wa X na hatimaye ikatokea ukashtakiwa mahakamani na kudaiwa fidia ya shilingi milioni 500. Utafanya nini? Utapenda upate wakili atakayekuwakilisha mahakamani ili utendewe haki au kwa vile umeambiwa kulipa hizo shilingi milioni 500 utalipa tu on grounds kwamba ukituhumiwa ndiko kukosa kwenyewe?
3. Kama hujui sheria ni kwamba mahakamani mtu akituhumiwa na kukubali kosa anatiwa hatiani na hakuna haja ya kuwa na shahidi. Ila akikana kosa, anabaki bila hatia hadi hapo mahakama inapomtia hatiani. Kwa hiyo, mtuhumiwa wa ufisadi anayekana kosa anabaki bila kosa na hivyo akihitaji msaada wa kisheria ili haki ipatikane anapata. Ni kwa hili, ambapo huwa watuhumiwa huwa wanahitaji wakili. Kusema Marando anawatetea mafisadi siyo sahihi unless kama Marando na hao mafisadi wamefanya huo ufisadi na mahakama imewatia hatiani baada ya kuridhika na ushahidi. Kinyume na hapa, hakuna cha kusema anawatetea mafisadi bali anasaidia ili haki ipatikane maana bila kuwepo utetezi/msaada wa kisheria watu wangekuwa wanatiwa hatiani bila kosa karibu mara zote. Ndiyo maana kuna upande wa mashtaka na upande wa utetezi - kuwepo kwa pande hizi mbili kunasaidia haki ipatikane. Kama kungekuwepo tu upande wa mashtaka basi watu wengi wangekosa haki kila siku maana leo nikikutuhumu tu kuwa umeniibia ingetosha kukufunga bila ushahidi wowote.
Habari yako mkuunimependa avatar yako naomba niitumia kwa nusu saa tu.....Hakuna kitu kibaya kama kukurupuka...
Nini mafisadi hata shetani akija tutampa wakili wa kumtetea makosa yake!
Anachokifanya ni sahihi kwa sababu hiyo ni professional yake
Sijamsikia bingwa wa sheria mabere marando yuko wapi? pamoja na Fredie Mpendazoe, na Acardo Ntagazwa au wamewa-shibuda. hata katika kamati ya kwenda kumuona Rais wamewekwa pembeni. vivyo hivyo, nilitegemea Kitila Mkumbo angekuwa miongoni mwa wanakamati saba walioteuliwa kumuona Rais kwani ni mtambo katika kujenga hoja.
kuna tetesi kwamba kilichompoza marando ni kutetea mafisadi mahakamani akiwemo Jitu patel?
my take: 1. kama unatetea mafisadi unawezaje kujitenga na ufisadi?
2. marando anasimamia haki ipi kwa kachanganya sheria na siasa?
3. chadema hawawezi kuchafuka kwa kiongozi mkuu wa chama kuwatetea mafisadi?
4. je, marando hawezi kutoa siri za chadema kwa mafisadi juu ya namna chadema ilivyojipanga kuwashughulikia mafisadi?
Sijamsikia bingwa wa sheria mabere marando yuko wapi? pamoja na Fredie Mpendazoe, na Acardo Ntagazwa au wamewa-shibuda. hata katika kamati ya kwenda kumuona Rais wamewekwa pembeni. vivyo hivyo, nilitegemea Kitila Mkumbo angekuwa miongoni mwa wanakamati saba walioteuliwa kumuona Rais kwani ni mtambo katika kujenga hoja.
kuna tetesi kwamba kilichompoza marando ni kutetea mafisadi mahakamani akiwemo Jitu patel?
my take: 1. kama unatetea mafisadi unawezaje kujitenga na ufisadi?
2. marando anasimamia haki ipi kwa kachanganya sheria na siasa?
3. chadema hawawezi kuchafuka kwa kiongozi mkuu wa chama kuwatetea mafisadi?
4. je, marando hawezi kutoa siri za chadema kwa mafisadi juu ya namna chadema ilivyojipanga kuwashughulikia mafisadi?
Madaktari waliopo Chadema wasiwatibu Watu wa CCM, Watuhumiwa wa ufisadi?
Maengineer walioko Chadema wasijenge Nyumba za Wana CCM au watuhumiwa wa ufisadi?
Madereva walioko Chadema wasiendeshe magari ya wana CCM au Watuhumiwa wa Ufisadi?
Upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana hasa unapochanganya Profession na Siasa! Kila Professional in Ethics zake ambazo zinatengamana na Siasa!
Halafu ulitaka kila mtu awe Kwenye Kamati????