Mabere Nyaucho Marando katupwa wapi?

Mabere Nyaucho Marando katupwa wapi?

FIKRA MBADALA

Senior Member
Joined
Jun 30, 2008
Posts
167
Reaction score
16
Sijamsikia bingwa wa sheria mabere marando yuko wapi? pamoja na Fredie Mpendazoe, na Acardo Ntagazwa au wamewa-shibuda. hata katika kamati ya kwenda kumuona Rais wamewekwa pembeni.

Vivyo hivyo, nilitegemea Kitila Mkumbo angekuwa miongoni mwa wanakamati saba walioteuliwa kumuona Rais kwani ni mtambo katika kujenga hoja.

Kuna tetesi kwamba kilichompoza marando ni kutetea mafisadi mahakamani akiwemo Jitu Patel?

My take:
1. kama unatetea mafisadi unawezaje kujitenga na ufisadi?

2. marando anasimamia haki ipi kwa kachanganya sheria na siasa?

3. CHADEMA hawawezi kuchafuka kwa kiongozi mkuu wa chama kuwatetea mafisadi?

4. Je, Marando hawezi kutoa siri za CHADEMA kwa mafisadi juu ya namna chadema ilivyojipanga kuwashughulikia mafisadi?
 
Naona hii thread sio tu hainihusu, bali pia sijaona mantiki ya kuijadili.
 
Nini mafisadi hata shetani akija tutampa wakili wa kumtetea makosa yake!
 
Utumbo tupu! Eti Marando ni mwanasheria mkuu wa chadema? Shhhitt

Marando ni mwanasheria aliyebobea kwa muda mrefu kabla hata ya Lissu alikuwa anatumiwa na chadema kama mwanasheria wao namba moja ( mwanasheria mkuu wa chama)
 
marando katemwa taratibu ndio maana hakuna majibu hapa JF
 
CDM tuna kesi nyingi za ajabu ajabu na zile za ukweli! yuko busy kupanga mashambulizi kwa kuwaelekeza mawakili mbali mbali nchini walio katika CDM. Mpiganaji yupo tena yupo mstari wa mbele siyo wewe ukitishiwa nyau huyoooooo, ulala mbele na chupa ya chibuku.
 
Ucwe na wasiwasi Marando yupo.Chadema wana majukumu mengi kila mtu amekamata lakwake kumbuka sasa hivi chama kimekua sana.

Kwani unafikiri wote wangeenda kwa jk,maaana ujumbe ulio tumwa ni wa muhimu kulinganisha na nafasi ya raisi,katibu na mwenyekiti ni lazima kuonyesha uzito wa ujumbe arafu balegu,safari na tundu ni majembe.hili ni jambo la kujivunia kwamba upinzani una watu makini na wasomi wengi huwezi kulinganisha na makanjanja wa ssm akina rukuvi na wasira.
 
mwanasaiasa kitu pekee anachosema ukweli kwa 100% ni jina lake tu.


Mimi mwenyewe nafika sehemu huu usemi naanza kuukubali, tena bwana siku hizi hata majina wanabadilisha tu sio ishu
 
Sijamsikia bingwa wa sheria mabere marando yuko wapi? pamoja na Fredie Mpendazoe, na Acardo Ntagazwa au wamewa-shibuda. hata katika kamati ya kwenda kumuona Rais wamewekwa pembeni. vivyo hivyo, nilitegemea Kitila Mkumbo angekuwa miongoni mwa wanakamati saba walioteuliwa kumuona Rais kwani ni mtambo katika kujenga hoja.

kuna tetesi kwamba kilichompoza marando ni kutetea mafisadi mahakamani akiwemo Jitu patel?

my take: 1. kama unatetea mafisadi unawezaje kujitenga na ufisadi?
2. marando anasimamia haki ipi kwa kachanganya sheria na siasa?
3. chadema hawawezi kuchafuka kwa kiongozi mkuu wa chama kuwatetea mafisadi?
4. je, marando hawezi kutoa siri za chadema kwa mafisadi juu ya namna chadema ilivyojipanga kuwashughulikia mafisadi?

NAUNGA MKONO HOJA.

Maranda anaweza kufanya hivyo kwa kuwafaidisha CHADEMA, kwa kuwa atapata siri nyingi za MAFISADI, lakini pia kwa sababu yawezekana katanguliza njaa ya pesa, anaweza kuharibu taarifa na mikakati ya CDM, kwa kuvujisha siri.

MARANDO KWA HILI HAIELEWEKI, AJE ATUPE MAELEZO
 
kombora la nape limemmaliza.marando .hana chochote zaidi ya kujikomba kwa mafisadi2.mchumia tumbo mkubwa yule
 
ikiwa huna cha maana cha kusema bora unyamaze, kunauhusiano gani wa kazi ya mtu anayofanya tena ya halali na cdm? Tangu mwazo gamba wamekuwa hawataki kuwashitaki wahusika. kunaubishi kwamba waziri husika kuwa anamakosa ktk EPA? tuache ushabiki usio na tija tujadili maendleo. CDM mbele zaidi nyuma mwiko
 
Back
Top Bottom