MABERE MARANDO ndiye alikyekuwa na kazi ya kutesa watu kule kisiwani Mafia
mabere marando ..ana kazi nyingi anazodaiwa kufanya akiwa TIS ..MOJA WAPO PIA NI KUADAIWA KUWEMO KWENYE AMBUSH ILIYOPELEKEA KUFA KWA CAPT .TAMIN[COMMANDO-JWTZ]...NA INADAIWA KUWA YEYE NDIE ALIYE FYATUA RISASI ILIYOMUUWA TAMIM.PALE KINONDONI KILIMANI....TUWEKE SAWA HISTORIA HAPA!!!
Jamani hayo si maneno yangu, tujadili:
Na pia:
Huyo ndio Marando wa Chadema kutokana na nyuzi za zamani za JF.
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/7669-yasin-memba-aliyeteka-ndege.html
na pinda alishiliki kwenye nini?
na kikwete alipokuwa jeshini je?
nani alimuua kolimba?
nani alimuua komba?
nani alimuua sokoine?
na jumbe anafanya nini pale kigamboni?
na alimuua kaurume ana anafanya nini msumbiji?
na wakina kambona je?
hata Nyerere hivi ilikuwa NATURAL death
usilete hapa mambo ya usalama wa taifa kwa kisingizio cha kumchafua mtu, usalama wa taifa ni sehemu ya serikali ya
ccm, kwa hiyo unataka kusema ccm ni wauaji? kama sio waua huyo uliyemtaja anafanya nini uraiani?
mnapo kuja na hoja za kuwachafua watu kwa kupitia utumishi wao wa nyuma serikalini muwe mnakumbuka ili
NO MATTER WHAT HAPPENED, ndio maana tumechoshwa na hawa wadhalimu tunataka serikali yenye meno na utawala wa sheria
kama ingekuwepo wewe hisingi andika haya maana kama yangekuwepo kwa sasa angekuwa jela.
anyway nani alinufaika na hayo mateso na vifo habari yako ni nusu
Jamani hayo si maneno yangu, tujadili:
Na pia:
Huyo ndio Marando wa Chadema kutokana na nyuzi za zamani za JF.
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/7669-yasin-memba-aliyeteka-ndege.html
Mkuu wewe ni mchokonozi!!! Lakini ni vizuri manake kuna watu wanaweza kuwa wanamponda mtu akiwa upande mmoja aki cross border tu basi anakuwa mwema!! Naipenda historia kwa kuwa inatukumbusha mengi!!
hiyo ya kumuua tamim aliwahi kuikanusha ila ni kweli alikua kwenye crew iliyomuua Tamim
Kimbunga, kuna watu humu JF hujifanya wao ni kama miungu mtu kwa kujidai wanaijuwa historia ya hii nchi. Lakini ukweli huwa wa mistari miwili mitatu tu/ Sasa tukileta ukweli humu huwa hawapendi kabisa. Na sasa ni wakati muafaka wa kuanza kuwapa darsa. Tutatumia ya humuhumu JF ikiwezekana.
mabere marando a.k.a ''Juock ping''..
Soma post yangu vizuri usikurupuke. Ya nyerere inajulikana haikuwa natural, muulize Mtikila alishasema kilicho muuwa Nyerere na alim quote Mkapa. Hayo mengine tueleze wewe kama walivyoeleza hao walioweka hizo post. Kumbuka mimi nimezi quote tu.
Jamani hayo si maneno yangu, tujadili:
Na pia:
Huyo ndio Marando wa Chadema kutokana na nyuzi za zamani za JF.
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/7669-yasin-memba-aliyeteka-ndege.html
Umeanza na neno inasemekana .Sasa sisi kweli tujadili nini ? Unataka aondoke Chadema au unataka nini liwe hitimisho ?Saulo aliua sana lakini aliongoka akaitwa Paulo akawa mwema .Now yuko na sura mpya means kaongoka kama usemayo ni kweli maana ni tetesi hizo .
lakini sio kwa manufaa ya chama furani kama unavyolenga,
kama unarusha mishale kwa madui kwa nini inapiga watu wa jeshi la ukombozi?
wewe ni mamluki hufai kuelimisha utalisha wanafunzi sumu , unanikumbusha yale ya walimu wangu sisi tumetokana na manyani,
kama suhala ni mauji ya serikali come clean, sio kutumbukiza watu furani.
kwani usalama wa taifa ni kampuni binafsi ya ulinzi inayomilikiwa na marando come on dude
hahahahahaHiyo ndio point "once a system always a system". Sasa nambie Marando hivyo vyama anavyo hamahama anapelekwa na nani na kwa kazi gani? hapo ndio utajuwa siasa ni mchezo mchafu na hakuna upinzani wa kweli.