Mabere Makubi ni Spencer Lameck Jr

Mabere Makubi ni Spencer Lameck Jr

Urassa sunday

Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
28
Reaction score
123
Nauliza hivi yule aliyekuwa mtangazaji wa ITV "Superbrand Tv" yupo wapi? maana alikuwa maarufu sana kwenye kampeni za Mwaka 2015 akiwa anaripoti na kusafiri na msafara wa mgombea Urais wa Chadema enzi hizo Mh.Lowassa.

Nakumbuka kwa upande wa CCM kulikuwa na mhandishi anayeripoti kampeni za mgombea (JPM) ambaye alikuwa ni Emmanuel Buhohela. Sasa huyu Buhohela najua alikula shavu baada ya uchaguzi nasikia sijui ni Mkurugenzi wa Habari - Wizara ya mambo ya nje.

Swali langu ni je yu wapi Spencer Lameck? maana baada ya uchaguzi sikuwahi kumsikia na wala sijui alipo.

Uchaguzi wa safari hii, namuona Mabere Makubi kama Spencer Lameck Junior!
 
Nauliza hivi yule aliyekuwa mtangazaji wa ITV "Superbrand Tv" yupo wapi? maana alikuwa maarufu sana kwenye kampeni za Mwaka 2015 akiwa anaripoti na kusafiri na msafara wa mgombea Urais wa Chadema enzi hizo Mh.Lowassa...
Angalia ITV habari ya 20:00 utamuona tu.
 
Mabele Makubi ni mtangazaji makini, tatizo mfumo ndiyo unamwangusha,vyombo vyote vya Habari vimeshikwa na kaburu mweusi,
Mfano.

Juzi tukio la kupigwa mawe magali ya mgombea wa Chadema kule choto halikutangazwa licha ya mabele kuwepo pale na alioneka a akirekodi tukio zima.
 
Back
Top Bottom