Mabenki na mfumo wa kufahamu wapi umekopa

kambagasa

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
2,261
1,785
Ndugu zangu imetokea leo baada ya rafiki yangu kuonyeshwa kiasi na bank alizokopa wakati akijiandaa kusaini mkopo kwenye bank nyingine. Mimi mwenyewe nilikuwa najiandaa kukopa japo sijamaliza mkopo bank nyingine. Tunatumia hati za kimila (barua ya viongozi wa serikali za mitaa). Kwa hali hii ya mitaji kuyumba natafakari tapataje pesa kwenye taasisi nyingine ili ziniboost mtaji hata kama ni kiasi kidogo. Duh wale mnaotamani kufanya Biashara kipindi hiki nawashauri mtunze kwanza mitaji ili tuendelee kumuombea kwanza Mh. Mtukufu raisi wetu
 
Nawashangaa sana mnaohangaika kitaa...
Hivi kwanini hamkufikiria kuwa ma Padri jamani...!!!!

Huku maisha ni mtelezo tuu.. Waumini wanatulisha... Mambo mswano!!!
 
Back
Top Bottom