Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Una ID ngapi uanzishe uzi mwenyewe una comment mwenyeweNakuunga mkono comrade
Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani
Wazungu wameanza kushiwa maarifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Una ID ngapi uanzishe uzi mwenyewe una comment mwenyewe
Mbona umemkimbia kiranga?
Hahaha! Mkuu hapa ulifikiri unatumia ID yako nyingine kuunga mkono thread uliyoanzisha mwenyewe kumbe bado uko kwenye ID uliyoanzishia thread! Pole sana kwa kuumbuka.Nakuunga mkono comrade
Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani
Wazungu wameanza kushiwa maarifa
Mbona umemkimbia kiranga?
Nini hii sasa
Wewe kwanza tengeneza mtandao wako wa mianzi, utumie huo kuwatukana "mabeberu".Pompeo siku hizi halali anaiwaza Tanzania
Kila kinachofanyika Tanzania anakifatilia
Anafuatilia kila hotuba za Rais wetu mpendwa pengine wanalazimika kujifunza hadi kiswahili ili wajue atasema nini.
Miaka ya katikati Tanzania tulipoteza ushawishi wetu wa kisiasa duniani ila toka Rais Magufuli ameingia madarakani mambo yamebadilika.
Bahati nzuri Rais wetu hana muda wa kwenda huko anatumikia Watanzania waliomchagua kwa mamilon ya kura.
Ikumbukwe Marikani huingiza Zaidi ya doller bilion tano kila mwaka kutokana na safari za viongozi wa Africa kwenda Marekani.
Ndani ya miaka minne Magufuli kutokwenda kule kinamuumiza kichwa pompeo
Kama Iran wameweza kumthibiti bwanyenye Kwanini sisi tumuogope?
Marais wa Africa wangekuwa kama Magufuli hakika bara la Africa lingeanza kupokea heshima inayostahili
Haiwezekani watu wanaiba raslmali zetu na sisi tunazindikiza huko kwa kutapanya mabilion ya walipa kodi.
Pompeo nenda kwa step,Tanzania ya leo sio ya jana
Rais Magufuli usitishike na hawa Mabeberu sisi Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia mia moja.
Baada ya pompeo kugonga mwamba huko Venezuela na north korea. Sasa anaanza kuleta janja janja kwetu, hatutakubali.
Tena mimi simwogopi kwenye ukurasa wake wa Twitter huwa nampa ukweli wake.
Akuonyeshe wewe kama naniNionyeshe picha ya Stiglers gorge ikiwa katika ujenzi wa bwawa
Hahaha! Mkuu hapa ulifikiri unatumia ID yako nyingine kuunga mkono thread uliyoanzisha mwenyewe kumbe bado uko kwenye ID uliyoanzishia thread! Pole sana kwa kuumbuka.
I say nyie watu hamna aibu kwenye propaganda zenu. Yaani Africa iwe na heshima kwa kutokwenda USA? Ndio mawazo ya Magufuli hayo, kwamba Tanzania itakuwa na heshima ikiwa hatafanya ziara za nje?
Na enzi za Nyerere mbona alikuwa akitoka nje na Tanzania ikawa na heshima sana? Utaelezaje hilo?
Tanzania kuwa na heshima ni kuacha kutumia nguvu kukaa madarakani kwa kukandamiza siasa za upinzani na kuteka na kuua kila anaekukosoa. Na pia ni kuwa na sera za nchi za nje (foreign policy) ambazo zinatuondoa kwenye ulimbukeni wa kuomba omba vitu vidogo kama kujengewa viwanja na misikiti, na kujikomba kwa mataifa kwa ajili ya misaada yao badala ya kusimamia misingi ya haki za binadamu. Ndicho Nyerere alichotuachia mfano ila tatizo ni nyie, vichwa na masikio makubwa lakini hamuelewi wala kusikia.