Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau, leo tena wale mabeberu wenye rangi nyeusi wamesusia sherehe iliyofana sana ya kumkaribisha mwali wetu.
Walizusha hapo awali kuwa eti Mwali Wetu ndiyo haji tena Nchini!
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwao!
Walizusha hapo awali kuwa eti Mwali Wetu ndiyo haji tena Nchini!
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwao!
wanaunga mkono juhudi kimyakimya