Mabeberu wanamezea mate Uranium yetu, wanatuonea wivu

Hii watu wenye kujielewa wanawatoa watu waliopa mamlaka na kuwapa wengine mbona wameshindwa zile job descriptions and duties yaani nyumbu hajui kuwa ana nguvu kuliko Simba ama chui kumi , wakati unawacheka nyumbu alfu moja kufukuzwa na kuuliwa na Simba ama chui watano Ila wewe hujicheki ni kwa nini mko wengi Ila mnashindwa na watu wasiofika hata mia , wenye maamuzi hawazidi hata kumi ujue yaani wanaoamua kuwa tope litoke bombani na bado anabonyesa kitufe mtu anatekwa , watu wanauliwa Kama nzi eti wanakuja kuongea uharibifu wa Mali , watu wajichange warudishe miundombinu tuone Kama na uhai utarudi .
Wao wako biased hawalioni ili Ila wataniona mie Kama mchochezi Fulani wa kuamsha watu watoke road , kweli ichi ni kitu sahihi afande unayetumwa kumkamata mtu anayepigia haki za watu na uhai wao mpaka maslahi ya wajukuu zako mbeleni ama unataka wakut
Tukisema tuna viongozi wa hovyo mnasema tunatumika na mabeberu haya kunyweni hilo tope Uranium zipo chini!!!
 
Kwanza uranium kwa sasa sio dili kiviile Tena hizi ni blah blah tu za wajukuu wa mzee wassira. Ingekuwa deal sana marekani asinge hangaika na uchumi wa mafuta. Nchi kama Germany baada ya kile kisanga walifikoria kuachana na miladi ya uranium

Na ingekuwa deal kubwa kama ambavyo uviccm wanataka kutuaminisha basi mabeberu wangekwisha weka kabisa kuchukua.

NAKUMBUSHA KUWA URANIUM HAIPATIKANI TZ TU
 
USILETE PICHA MJONGEO ZA AKILI MNEMBA KUWAADAA WATANZANIA NDUGU
 
Kwa reserve tu tunazidiwa Hadi na NAMIBIA
 
Kwanza uranium kwa sasa sio dili kiviile Tena hizi ni blah blah tu za wajukuu wa mzee wassira. Ingekuwa deal sana marekani asinge hangaika na uchumi wa mafuta. Nchi kama Germany baada ya kile kisanga walifikoria kuachana na miladi ya uranium

Na ingekuwa deal kubwa kama ambavyo uviccm wanataka kutuaminisha basi mabeberu wangekwisha weka kabisa kuchukua.

NAKUMBUSHA KUWA URANIUM HAIPATIKANI TZ TU
Ya Tz ndo nzuri kuliko zote duniani.. Maana ina marashi ya karafuu
 
Hiyo ni video ya A.I
1767512344213.png

NB: Matako yako
 
Achana na picha wengi bado wanakunywa maji machafu ya mito namifugo, kuoga nakufulia humo humo
naweza kukubali kuto kukubaliana na wewe lakini tuangalie miaka 15 nyuma hali ya upatikanaji maji safi ilikuaje na sasa tuko wapi licha ya mabadiliko ya hali ya hewa na ongezeko kubwa la watu
 
Bado hali ni mbaya mwaka Jana nilikua huko moro Kijiji Fulani watu hawana maji , shule hawana umeme hawana Yani wanaishi maisha ya kishamba mno, ukiishi dar tu hauwezi kujua jinsi Gani watu wanaishi kifukara mno
 
Ni aibu sana, bado nchi inaongelea upatikanaji wa maji ya kunywa. Ni aibu mno!!
 
Bado hali ni mbaya mwaka Jana nilikua huko moro Kijiji Fulani watu hawana maji , shule hawana umeme hawana Yani wanaishi maisha ya kishamba mno, ukiishi dar tu hauwezi kujua jinsi Gani watu wanaishi kifukara mno
kasi ya maendeleo vijijini had sasa ni yakuridhisha uzuri elimu inatolewa bure kote nchini hii itachagiza maendeleo hadi vijijini tuwape muda
 
Muda Gani watu wanateseka huku pesa ikitumika kwenye mambo ya hovyo ya anasa? Miaka 60 unawapa mda upi Tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom