Mabaunsa wapewa onyo kali

Nilikua napiga gym unagusa kimtindo sio kua baunsa kiufi mimi huwa baruka kamba nakimbi kilometa moja na gym kidogo sana kila weekend tu nikitoka kanisa jioni gym basi kwa mwezi mara tatu safi Ubaunsa ni ujinga
Acha maneno mengi wewe,tayari wewe
 
Na Mondi nae ilikuwaje
 
Nilisikia mahali zile sindano za kusisimua misuli huwa zinaua homoni za kiume, sijui ni kweli ama vipi ila yote kwa yote mambo ni mawili tu hapo
 
Acha kutetea ujinga,kwani kuoa na kuwa na watoto ndio hupakuliwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…