Unapokuja tabata kufanya starehe ,kuwa makini sana na hawa ma baunsa,,inapotokea wamekusoma kuwa una mtonyo wakutosha pamoja na vitu vya thamani kama saa,cheni ,pete,,wanatuma watu wao,wakuchokoze,ilimradi vurugu itokee,,alafu wao wanakuja kukubeba juu,juu kukutoa nje,,unapofika,nje,,utapigwa kama mwizi,,na mwisho wa picha ,,utajikuta kila kitu kimeibiwa,,hasa hasa waleti pamoja na simu,,hawapo kwa ajili yakulinda usalama wa mteja ,,bali wako kwa ajili yakujinufaisha wao,,nakuijengea sifa mbaya bara husika..mfano THE GREAK PARK,,iliyopo barakuda kwenye mpando wakuelekea segerea