Niko na bati mpya kutoka ALAF. nilinunua kwa ajili ya kazi yangu lakini fundi alikosea vipimo kwa hiyo yamebaki.
bati tano ziko na 4.76RM kila moja na bati tatu ziko na 4.02 RM kila moja (RM=running metre)
bei kwa running metre ni 12,744 (hii ni bei ya kiwandani, bila kuongeza hata senti moja)
rangi ya bati ni brown red (ile red inakuwa nzito, labda wengine huita dark red)
Bati zipo salasala. kama unayahitaji niPM.