Loly JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 522 Reaction score 223 Aug 2, 2015 #41 Kwahiyo hizo bati za migongo mipana misumari yake unayo? nahitaji bati za migongo mipana gage 30 kama 150 Pamoja na misumari na kofia za bati
Kwahiyo hizo bati za migongo mipana misumari yake unayo? nahitaji bati za migongo mipana gage 30 kama 150 Pamoja na misumari na kofia za bati
Mathenge JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 799 Reaction score 457 Aug 2, 2015 #42 Kurunzi said: Samahani naomba kujua hiI TATA upana na marefu ni kiasi gani? Click to expand... Upana wake ni sm 110 na urefu ni mita 3 au futi kumi mkuu!
Kurunzi said: Samahani naomba kujua hiI TATA upana na marefu ni kiasi gani? Click to expand... Upana wake ni sm 110 na urefu ni mita 3 au futi kumi mkuu!
Latifaa JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 501 Reaction score 258 Aug 3, 2015 Thread starter #43 Loly said: Kwahiyo hizo bati za migongo mipana misumari yake unayo? nahitaji bati za migongo mipana gage 30 kama 150 Pamoja na misumari na kofia za bati Click to expand... Karibu boss wangu kila kitu kipo misumari ya aina zote utapata na mabati ya aina zote utapata karibu sana
Loly said: Kwahiyo hizo bati za migongo mipana misumari yake unayo? nahitaji bati za migongo mipana gage 30 kama 150 Pamoja na misumari na kofia za bati Click to expand... Karibu boss wangu kila kitu kipo misumari ya aina zote utapata na mabati ya aina zote utapata karibu sana
J jmabulla Member Joined Jul 29, 2015 Posts 44 Reaction score 26 Aug 3, 2015 #44 Ingependeza zaidi kama ungeweka sample ya hayo mabati pamoja na contacts zako. By the way, nikushukuru kwa kusogeza karibu huduma kwa wahitaji.
Ingependeza zaidi kama ungeweka sample ya hayo mabati pamoja na contacts zako. By the way, nikushukuru kwa kusogeza karibu huduma kwa wahitaji.
Loly JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 522 Reaction score 223 Aug 4, 2015 #45 Latifaa upoo nimekupm
Latifaa JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 501 Reaction score 258 Aug 5, 2015 Thread starter #46 Loly said: Latifaa upoo nimekupm Click to expand... Nimekujibu boss wangu