Ando roofing ni kampun ya kizalendo inayo jihusisha na uuzaji wa bidhaa za roofing products kama vile mabati na vigae ambavyo havipauki wala havishiki kutu, ando roofing inapatikana tegeta njia panda ya chanika pia inamaduka yake buguruni malapa, mikocheni na rafia-mbezi, bei zao ni nzur kulinganisha na ubora wa bidhaa zao