Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,303
Yalikuwa yanafanan na haya
View attachment 66413
View attachment 66414
Ikarus za kisasa
View attachment 66415
Kumbakumba hili hapa.View attachment 66417
haya ndio yanarudi kuwa ya kasi.....?
Nimepanda haya mabasi miaka ya 80 mwishoni; nauli ya mwanafunzi ilikuwa Tsh. 5 ilimradi uwe na kitambulisho
haya ndio yanarudi kuwa ya kasi.....?
Nimepanda haya mabasi miaka ya 80 mwishoni; nauli ya mwanafunzi ilikuwa Tsh. 5 ilimradi uwe na kitambulisho
Duh Iselamagazi acha uongo hiyo nauli ya tsh 5 hata mzima alikuwa halipi labda kama utapanda mabus ya watu binafsi ndiyo ungelipa 5.Nauli ya mwanafunzi ilikuwa tsh 1 tu.
ushahidi wa maneno yako??!!Kinachonichekesha kuhusu suala zima la haya mabasi ya Ikarus ni kwamba kiongozi wa serikali aliyesimamia kununuliwa kwa haya mabasi alirudi na basi lake mwenyewe la Ikarus. Yeye akalipaka rangi ya kijani nadhani. Nyerere alipoambiwa akamwita, akamuuliza, hebu mwenzetu tueleze, hili basi umelipata kwa namna gani? Jamaa akasema nilipewa zawadi na kampuni ya Ikarus!
Nyerere akauliza zawadi kwa kazi gani uliyowafanyia Ikarus? Hapo jibu ligawa gumu kutoka. Ilibidi lile basi jamaa anyang'anywe, likakabidhiwa UDA na kupakwa rangi ya njano mara moja!
Huyo alikuwa Nyerere bwana.
Duh Iselamagazi acha uongo hiyo nauli ya tsh 5 hata mzima alikuwa halipi labda kama utapanda mabus ya watu binafsi ndiyo ungelipa 5.Nauli ya mwanafunzi ilikuwa tsh 1 tu.